masanzakona
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 228
- 121
Wewe umri wako ni miaka mingapi?Habari zenu watu wote!
Natafuta rafiki, mpenzi na hatimaye mume awe Single Father ( kwa sababu yoyote ile)
Umri kuanzia miaka 40+
Mengine tutayajenga PM, karibu kwa aliye serious
niko na 42.....watoto wawiliWewe umri wako ni miaka mingapi?
Kila la kheri mkuu, kuwa na subira utapata hitajio lakoniko na 42.....watoto wawili
nahitaji single father mwenye watoto pia
AminKila la kheri mkuu, kuwa na subira utapata hitajio lako
niko na 42.....watoto wawili
nahitaji single father mwenye watoto pia
Uko wapi Mkuu?Habari zenu watu wote!
Natafuta rafiki, mpenzi na hatimaye mume awe Single Father ( kwa sababu yoyote ile)
Umri kuanzia miaka 40+
Mengine tutayajenga PM, karibu kwa aliye serious
Sio wanawake wote wako hivyo, watoto ni baraka na zawadi kutoka kwa MunguMungu akujalie upate hitaji la moyo wako.Tatizo lenu mnaandika kama kweli mko innocent mkishpata mtu kaamua kukupenda mnaanza ubinafsi wa kupendelea watoto zenu,huo ni mtihani kwa wanawake wengi,ukishinda hilo utakuwa na ndoa yenye amani na furaha tele..
Mungu akusaidie upate hitaji la moyo wakoHabari zenu watu wote!
Natafuta rafiki, mpenzi na hatimaye mume awe Single Father ( kwa sababu yoyote ile)
Umri kuanzia miaka 40+
Mengine tutayajenga PM, karibu kwa aliye serious
Hapa katikati niliacha na hiyo issue, nilikuwa busy na mambo mengine ya kimaisha, nikatulia kwanza, so nimerudiDada una bidii, tangu 2014 bado hujafanikiwa? Kama upo serious njoo PM, naweza pia kukupa ushauri iwapo sitakuwa na vigezo stahiki maana utu uzima dawa!Niolewe na yupi - ushauri wako ni muhimu
Kwanza na mshukuru Mungu kwa rehema na baraka mbali mbali anazonijalia katika maisha yangu kila iitwapo leo. Wana-MMU ninakuja kwenu nikihitaji ushauri juu ya hili suala, kiukweli maisha ya upweke yamenichosha, hii ni baada ya kudivorce na aliyekuwa mume wangu 2007. Mimi ni mama nina watoto...www.jamiiforums.com
40- jeHabari zenu watu wote!
Natafuta rafiki, mpenzi na hatimaye mume awe Single Father ( kwa sababu yoyote ile)
Umri kuanzia miaka 40+
Mengine tutayajenga PM, karibu kwa aliye serious
Hahah! Tayari upo nje ya vigezo mzee hizi bahati haziangukagi kwa wadau walio na meno makali, utasikia age kuanzia 35+, wengine wanataka mwenye HIVKila la kheri mkuu, kuwa na subira utapata hitajio lako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah! Tayari upo nje ya vigezo mzee hizi bahati haziangukagi kwa wadau walio na meno makali, utasikia age kuanzia 35+, wengine wanataka mwenye HIV
Hahah! Kila lakheri mzee wacha tuombe uzima kufikia huo umri wa kucare[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naendelea kupractise haya maneno aliyotuachia hayati Mzee Mengi( I love you crazy ) maana nitakayempata bado hajazaliwa.
Wazee wanasifika kwa kucare sana, bila shaka nikiwa mzee nitacare sana