habari ya Ligamba!ina maana wote ambao hawajaolewa ni wabaya
Wadada ambao hawajaingia kwenye ndoa hii inawahusu[emoji23] [emoji23] View attachment 325625
Whiever said anything about my likings?For both sexes, whoever chooses not to marry or be married should stay away from the opposite sex. Otherwise, just tell us you are irresponsible that is why you like no strings attached kind of relationship or you have some irrepairable weakness that an opposite sex cannot withstand in a lasting relationship like marriage.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hovyooo!
Differentiate between marriage and come we stay relationship. Whoever is in a polygamous marriage is married. So, if you want to be a second wife, well and good but one thing that will remain a fact is that you are married. The problem comes when you are not ready to commit to be somebody's wife or husband but you keep playing hop-ste-and-jump on other peoples current or future assets.Whiever said anything about my likings?
I am talking positions based on philosophical analysis.
Waislamu wanaruhusu mwanamme kuoa mke zaidi ya mmoja, sasa itasemaje mwanamke ambaye hajaolewa a stay away from the opposite sex?
Ndoa za asili zinaruhusu kuoa mke zaidi ya mooja, na zinagambukiwa na serikali. Ukiangalia cheti cha ndoa kina sehemu wameainisha aina za ndoa unajaza, kqma ni ya kikristo, kiislamu au kijadi or something like that.
Sasa wewe ni nani mpaka upangue watu maisha kwa kuwakataza kupata mke wa pili na wa tatu na wa nne na wa tano na hata zaidi, kitu ambacho sheria inaruhusu.
Na kama mtu kakubaliana na mke wake kuongeza mke nwingine, na kwenye kutafuta kampata huyo ambaye hajaolewa, wewe tatizo lako linaanzia wapi?
Sio kila mtu anataka kuolewa.
Pia, huu ni udadavuzi na unyanyapaa kwa wanawake ambao hawajaolewa.
Kwanini usitake kuolewa kama wewe ni msichana? Kama hutaki kuolewa unaweza kukaa bila mwanaume? Kama huwezi, mwanaume utakayekaa naye utamwita nani wako? Inaonekana unapenda uchafuzi wa mazingira tu.
Pole limekutachiHovyooo!
Wengine wanakuwa wanachagua sana wanaume na kutaka wanaume kama vile wanavyotazama drama za kikorea au kizungu na mwisho wa siku wanadoda au wanajiona wazuri sanaina maana wote ambao hawajaolewa ni wabaya
Umeuliza wangapi na wangapi wakakujibu hilo ili ujiaminishe hilo?Ukweli wako unaujua but nachojua mimi kila mtu anapenda kuoa au kuolewa ndo mtu anakua amekamilika lkn kama ujafanya ivyo vitu utaishia kuitwa muhuni tu
Mbona povu jng a u among of zose magume magumes mtakoma mmezidiUmeuliza wangapi na wangapi wakakujibu hilo ili ujiaminishe hilo?
Umetembea nchi ngapi na kuona maisha gani tofauti tofauti?
Usifikiri kwamba dunia nzima ipo kama kijijini kwenu.
Kuna single ladies wengine nabii wao Oprah Winfrey.
Single black billionaire, in USD.
Umesha assume.Mbona povu jng a u among of zose magume magumes mtakoma mmezidi
Ukweli wako unaujua but nachojua mimi kila mtu anapenda kuoa au kuolewa ndo mtu anakua amekamilika lkn kama ujafanya ivyo vitu utaishia kuitwa muhuni tu
Na hichi kichaa kinakupata sababu ya ndoa una upungufu wa madin ya ndoa mwilin kaolewe acha kukificha nyuma keypadUmesha assume.
When you assume you make an ass of u and me.
Obviously you have never heard the udea of somebody making a case for a philosophical argument.
Kifaduro cha ubongo kina aina nyingi sana ya kujidhihirisha.
A one track mind cannot transcend it's narrow dimensionality.
Nishaeleza sababu yangu kifalsafa, kwamba sipendi unyanyapaa.
Lakini mtu kama wewe sofikiri hata kama neno unyanyapaa unalielewa maana yake nini.
Assumption juuu ya assumption.Na hichi kichaa kinakupata sababu ya ndoa una upungufu wa madin ya ndoa mwilin kaolewe acha kukificha nyuma keypad
Nimelipenda Jina LakoHovyooo!
njoo uolewe hiyo mambo ikuishe ila ukipona nakufukuzaAssumption juuu ya assumption.
Huna hata moja ambalo una uhakika nalo.
Unatapika uharisho tu.
Assumption juuu ya assumption.
Huna hata moja ambalo una uhakika nalo.
Unatapika uharisho tu.
njoo uolewe hiyo mambo ikuishe ila ukipona nakufukuza