Wewe unaoa wanaume?njoo uolewe hiyo mambo ikuishe ila ukipona nakufukuza
Mmoja waoHovyooo!
mbona unawatetea sana wasiolewa samahani mkuu nikajua na ww miongon waliokuwa rejected japo umechelewa kujitambulisha bas sawa ngoja mm nila na shemeji yako ucku mwemaWewe unaoa wanaume?
Again, unakwenda kwa assumption sana.mbona unawatetea sana wasiolewa samahani mkuu nikajua na ww miongon waliokuwa rejected japo umechelewa kujitambulisha bas sawa ngoja mm nila na shemeji yako ucku mwema
Wala sio disability sometimes shits happen the guy anaamua kusepa for no convincing reason asa huwezi mlazimishaFine, ambaye bado anasoma is not in the group of those who say, I dont want to be married. It only means it is not yet time. My issue with those who say they dont want to be married is that, if you choose not to be married, you should not come close to any man, because that man will be somebody's husband. Finally, whether you are doing research for whatever case, that is not enough reason not to be married unless you have some hidden disabilities you dont want to come to the fore.
Mkuu hujawahi kukutana na wanaume wasiotaka hata kusikia ilo neno kuoa?Fine, ambaye bado anasoma is not in the group of those who say, I dont want to be married. It only means it is not yet time. My issue with those who say they dont want to be married is that, if you choose not to be married, you should not come close to any man, because that man will be somebody's husband. Finally, whether you are doing research for whatever case, that is not enough reason not to be married unless you have some hidden disabilities you dont want to come to the fore.
I now undestand you. So, you are an agent of doom out to propagate the scum of human misfits with no moral standings in society. I now undestand that your comments are based on twisted understanding of family structure based on some myopic western/ Eastern culture. Sorry dear, you have been badly brainwashed and you have nothing left in the name of independently thinking brain but left confused struggling with identity crisis. Do you even understand who you are? Pathetic.Usilazimishe fikra zako kwa wengine.
an au Korea Kusini. Kuna wanaume na wanawake wengi tu ambao hawataki kuoa au kuolewa.
Serikali inataka watu wazae zaidi na kuwapa kila aina ya misamaha ya kodi lakini wao wamekomaa na single life.
Hapa mwanamke ana elimu yake, ana kazi ya maana, ana mchumba, gari na nyumba yake. Huyu amekamilika kuliko yule anayeolewa kwa ajili ya sababu za kiuchumi.
Wanataka kufanya kazi na kustarehe tu. Harusi siyo muhimu kabisa kwake.
Ukienda nchi za magharibi kama Sweden au Uholanzi utawakuta watu wengi tu wanaishi pamoja na kuzaa lakini hawajaona.
Hiyo mikaratasi ya ndoa ni utamaduni tu. Kwako hajakamilika kama hajaoa/ hajaolewa, kwake maisha yanakwenda kwa raha kama kawaida.
Usifananishe utamaduni wako na jamii nyingine. Tofauti ya elimu, jamii na uchumi inahusika sana na maamuzi yao ya kuishi bila ndoa.
Kwa hiyo unataka tuwe kama wao, wanazaa watoto wasio na baba, wanafunga ndoa za mikataba, wanawekwa vimada, wanatoa mimba kila siku. Hayo maisha ya kijinga hayawezi kuwa utamaduni kamwe yalikuwepo tangu zamani hakuna jipya chini ya jua au wewe biblia husomiUsilazimishe fikra zako kwa wengine.
Njoo Japan au Korea Kusini. Kuna wanaume na wanawake wengi tu ambao hawataki kuoa au kuolewa.
Serikali inataka watu wazae zaidi na kuwapa kila aina ya misamaha ya kodi lakini wao wamekomaa na single life.
Hapa mwanamke ana elimu yake, ana kazi ya maana, ana mchumba, gari na nyumba yake. Huyu amekamilika kuliko yule anayeolewa kwa ajili ya sababu za kiuchumi.
Wanataka kufanya kazi na kustarehe tu. Harusi siyo muhimu kabisa kwake.
Ukienda nchi za magharibi kama Sweden au Uholanzi utawakuta watu wengi tu wanaishi pamoja na kuzaa lakini hawajaona.
Hiyo mikaratasi ya ndoa ni utamaduni tu. Kwako hajakamilika kama hajaoa/ hajaolewa, kwake maisha yanakwenda kwa raha kama kawaida.
Usifananishe utamaduni wako na jamii nyingine. Tofauti ya elimu, jamii na uchumi inahusika sana na maamuzi yao ya kuishi bila ndoa.
They must be having a serious genetic defect or are just irresponsible pseudomen who believe they want to enjoy life without responsibility.Mkuu hujawahi kukutana na wanaume wasiotaka hata kusikia ilo neno kuoa?
But in that situation, can you say he doesnt want to marry?Wala sio disability sometimes shits happen the guy anaamua kusepa for no convincing reason asa huwezi mlazimisha
PAAAAAAH!Hovyooo!
Hili ni tatizo la mindset lazima ifike mahala tuseme hapana. Na hili lazima liwe na nucleus yaani kiini. Wewe na mimi tukisema no, watapatikana wengine wawili pia na mwisho wa siku itakuwa taifa zima, bara na hata dunia.Kuna watu wanafikiri ustaarabu lazima uanzie ulaya au USA,. Wanachofanya wazungu kinaoneka kizuri hata cha kijinga, kweli sisi wa africa tunashida mpaka leo tunatawaliwa.!
What I meant is . I thought the relationship with the guy would advance to another stage but you end up being left unknowingly dah yaniBut in that situation, can you say he doesnt want to marry?
Asante mkuu nimependa maelezo yko kuna mijitu inaona ndoa ni mhm kana kwmba bila ndoa hakuna maisha kuna mtu kazungumzia heshma mpyuuuuu heshima ipi???kila cku wke za wtu waume za wtu kupishana nymba za wageni mfyuuuuuu!!!!kuolewa kwa sasa ni maamuz ya mtu binafc waoaj wnyewe hmna mapunga matupu yamejaa mjni!!!!Usilazimishe fikra zako kwa wengine.
Njoo Japan au Korea Kusini. Kuna wanaume na wanawake wengi tu ambao hawataki kuoa au kuolewa.
Serikali inataka watu wazae zaidi na kuwapa kila aina ya misamaha ya kodi lakini wao wamekomaa na single life.
Hapa mwanamke ana elimu yake, ana kazi ya maana, ana mchumba, gari na nyumba yake. Huyu amekamilika kuliko yule anayeolewa kwa ajili ya sababu za kiuchumi.
Wanataka kufanya kazi na kustarehe tu. Harusi siyo muhimu kabisa kwake.
Ukienda nchi za magharibi kama Sweden au Uholanzi utawakuta watu wengi tu wanaishi pamoja na kuzaa lakini hawajaona.
Hiyo mikaratasi ya ndoa ni utamaduni tu. Kwako hajakamilika kama hajaoa/ hajaolewa, kwake maisha yanakwenda kwa raha kama kawaida.
Usifananishe utamaduni wako na jamii nyingine. Tofauti ya elimu, jamii na uchumi inahusika sana na maamuzi yao ya kuishi bila ndoa.
Sorry my dear. Anyway, men are sometimes very cunning creatures, they may only want to enjoy your body but pretend that they want to marry. So, you should try and ask the man what kind of relationship are you getting into before hand. Finally, do a honest personal assesment to find out whether you are the source of your own problems or not. Sometimes we are our own best enemies. Otherwise, it might be a blessing in disguise that he left you.What I meant is . I thought the relationship with the guy would advance to another stage but you end up being left unknowingly dah yani
Ok thanx well notedSorry my dear. Anyway, men are sometimes very cunning creatures, they may only want to enjoy your body but pretend that they want to marry. So, you should try and ask the man what kind of relationship are you getting into before hand. Finally, do a honest personal assesment to find out whether you are the source of your own problems or not. Sometimes we are our own best enemies. Otherwise, it might be a blessing in disguise that he left you.
You seem to be a honest person seeking solutions to problems. Dont lose heart. Fight hard but with humility because life is but a war.Ok thanx well noted
Yeah I never lose hope no matter how things turn out to beYou seem to be a honest person seeking solutions to problems. Dont lose heart. Fight hard but with humility because life is but a war.
Hovyooo!