Nipe bei mkuu
Biashara itafanyika endapoZi
Zipo Kakangu, karibu tufanye biashara
Kama hautojali ni sms kwenye simu yangu hapo juu nikupigieBiashara itafanyika endapo
1. Kuna risiti kwenye malipo au
2. Kuna proof ya ownership
Hii ni kwa sababu ikitokea, narudia tena just ikitokea zikawa zimeibiwa sehemu zitaniletea shida. So lazima kuwe na proof of ownership na kusaini makabidhiano au unikatie risiti ya EFD inayoonesha umeniuzia
Please confirm kama kuna kati ya hayo linawezekana. Ni issue za usalama tu, hope kama mfanyabiashara hutakwazika
InboxKama hautojali ni sms kwenye simu yangu hapo juu nikupigie