Single Mom nahitaji mwenza

Pole Kwa baadhi ya michango ya wadau,,mm n single father nna watoto wanne,,wawili mama mmoja na hao wengine mama tofauti,,mnene kias chake mwajiriwa serikalin,elimu kidato Cha nne,,mnyakyusa a nafanya kazi mbeya!!
Nimeishajenga tayar ila nimepangisha mm nakaa kota but nna Miaka 30 kamili !! Kama inakupendeza karibu pm
 
Habari,

Mimi ni mama wa watoto wawili nahitaji mwenza,

Umri miaka 28
Makazi dar
Watoto wawili baba yao mmoja
Mwembamba
Mweupe
Urefu wastani
Dini mkristo.

Ninaye muhitaji

Umri miaka 32 hadi 40
Asiwe mnene sana
Awe mkristo.

Karibu PM.
Nipo bila Shaka umepata
 
Rudi kwa aliyekuzalisha tu, huku autapata furaha unajitafuria majanga tu na wanao hako kamwili kasikudanganye!
 
Habari,

Mimi ni mama wa watoto wawili nahitaji mwenza,

Umri miaka 28
Makazi dar
Watoto wawili baba yao mmoja
Mwembamba
Mweupe
Urefu wastani
Dini mkristo.

Ninaye muhitaji

Umri miaka 32 hadi 40
Asiwe mnene sana
Awe mkristo.

Karibu PM.
Mimi ni muislam nafikiri nimefeli hapo tu
 
Jisikie mwenye fulaha Kuanzia sasa maana maombi yako yamejiwa, mimi ndio jibu lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…