Single mother anahitajika Umri 29-39

Omukailee

Member
Joined
Jul 20, 2020
Posts
38
Reaction score
30
Mim ni kijana wa Umri wa miaka 37 namtafuta single mother au mwanamke yeyote wa kuwa nae kwenye mahusiano ambayo ni serious
Sifa: awe serious na mahusiano
Umri Kama nilivobainisha hapo juu
Sababu ya umri huo ni kwasababu watu hawa huwa wametulia kiasi na wako na inspiration ya juu hasa katika kufikia ndoto zako..kimawazo,
Karibu.
 
Miaka 24??????????????[emoji848]
 
Shekh unachokitafuta ni kujiua taratibu hao watu sio kabsa especially ukipata mchagga ndio kabsa.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
unataka kunyonywa damu na super woman
 
Kafanye kazi kijana,kulelewa si kuzuri
 
Dogo kabebe zege acha kujikiuka mwenyewe, Bado uko energetic guy kafanye kazi, tafuta msichana mwenye miaka 20 au 21 oa.

Acha kuchangia wanawake na baba zako!

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo anataka uhakika wa kushiba asubuhi, mchana na jioni! 😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…