Kwakweli napenda wanawake wa namna hii, hutetemekei mbwa, mwingine vinywaji vya laki tu utavitapika aki! Ndiomaana napenda kujigharamikia nikitoka kuepusha ushenzi huo!😅Daah, kuulizwa swali kama hilo hatari sana, halafu unawakuta na wenzie kama wawili hivi...hlf bili yao inakuja vinywaji laki 5 kasoro then unamuona anatoa hela kwny pochi analipa...hapo Mwanaume unawaza sasa cha kumuhonga🤣🤣🤣
af utakagi kukubali kushindwa ww🙅Nakwmabia hata wazuri wanaingia tamaa ukimchekea tu kosa!
Lakini pia Wanawake wa hivyo wengi kupata Real lovers ni ngumu kwsababu standard yao Wanaume wengi wenye Real love aidha wanawaogopa au hawawamudu...Kwakweli napenda wanawake wa namna hii, hutetemekei mbwa, mwingine vinywaji vya laki tu utavitapika aki! Ndiomaana napenda kujigharamikia nikitoka kuepusha ushenzi huo!😅
mimi ningemjibu 👉"chikorola (corolla) kichaf kichaf namba EUnamjibu tu suzuki swift no B hakuna jinsi😅
Nikubali? Ili nini 😆af utakagi kukubali kushindwa ww🙅
haya umesindaa🤓
Dahh hapo kweli Umesema! Ukiwa fake ni rahisi kupata shetani lako kuliko ukiwa real..Lakini pia Wanawake wa hivyo wengi kupata Real lovers ni ngumu kwsababu standard yao Wanaume wengi wenye Real love aidha wanawaogopa au hawawamudu...
Wanawake wa kizungu wengi wa Class hizo au zaidi wakiwa hapa Bongo wanajidogosha ili wamatch na Machalii🤣
unisaidie ku comfirm tu 😎 !Nikubali? Ili nini 😆
Chalamila hataki huto tugari mjini kwake😂mimi ningemjibu 👉"chikorola (corolla) kichaf kichaf namba E
Sitaki🤭unisaidie ku comfirm tu 😎 !
NILIMPATIA WAZO LA KUMPELEK MTOTO GOVERNMENT SCHOOL ILA SINGLE MAZA AKANIWASHIA MOTO BALAA ANASEMA MTOTO WAKE HAWEZI SOMA SHULE ZA SERIKALI KWAMBA HUKO ELIMU DUNImistake kinoma, kujua kuna mwanaume anamuudumia na kujichukulia jiko(haina tofauti kubwa kubwa na umechukua mke wa mtu japo jamaa yupo mbali na anaihudumia familia ), ushaur wangu ikiwezekana peleka mtoto Governmt skul kwanza !
ngoja my sis Shadeeya aje anisaidie! we nenda kabishane siasa na Tlaatlaah 🤓Sitaki🤭
Siwezi hata!ngoja my sis Shadeeya aje anisaidie! we nenda kabishane siasa na Tlaatlaah 🤓
Si uachane naye, au ni lazima uwe naye?😳NILIMPATIA WAZO LA KUMPELEK MTOTO GOVERNMENT SCHOOL ILA SINGLE MAZA AKANIWASHIA MOTO BALAA ANASEMA MTOTO WAKE HAWEZI SOMA SHULE ZA SERIKALI KWAMBA HUKO ELIMU DUNI
KIUKWEL NI MZURI SANA YANI SURA, RANGI, SHEPU SIKUWAHI KUAMINI KAMA NAWEZA INGIA KWENYE UHUSIANO NA MWANAMKE MZURI HIVIhuwa hawaamini katika kupata mwanamke fulani, sasa akimpata ndio matatizo yanaanza kuonekana!
Bingo! Si nimesema.. hapo ndio ulipojimix mwenyewe! Unaingia kwenye mahusiano kwa tamaa huangalii kama utammudu au vipi!KIUKWEL NI MZURI SANA YANI SURA, RANGI, SHEPU SIKUWAHI KUAMINI KAMA NAWEZA INGIA KWENYE UHUSIANO NA MWANAMKE MZURI HIVI
maza anazingua, anatakiwa aangalie kwanza kipato chenu wote na hali ya maisha saiv kupunguza matumizi yasiyo ya muhimu n.kNILIMPATIA WAZO LA KUMPELEK MTOTO GOVERNMENT SCHOOL ILA SINGLE MAZA AKANIWASHIA MOTO BALAA ANASEMA MTOTO WAKE HAWEZI SOMA SHULE ZA SERIKALI KWAMBA HUKO ELIMU DUNI
wacha tu tuendelee kuviwekea tinted na kianjif pembeni ka kupooza komwe !Chalamila hataki huto tugari mjini kwake😂
SHIDA HIYO LAKI NNE INGEKUW INAKUJA CASH KAMA MSHAHARA ILA SASA KUHIFADHI HIZI 15K ZA KILA SIKU MPAKA IFIKE HIYO LAKI NNE SIYO POAKwa mwezi unapata kama laki nne, utatoboa.
NA KWELI ROHO YANGU NAHISI ILIMVUTA MAANA ALIKUW AKITOKA KAZIN NAMFATA KAZINI SAA TISA USIKU SAA NYINGINE MVUA INANYESHA KABISA NA USAFIR UNAJUA ULIVYOSHIDA MIDA HIYOBoda boda hua wana roho nzuri sana ila wema ukizidi unakua ungese
MWANZON MAMBO YALIKUWA RAHISI SABABU BABA WA MTOTO ALIKUWA ANA CLEAR BAADHI YA VITU HIVYO NILIKUWA NA ENJOY KIMTINDO. ILA ALIPOGUNGUDUA TUU MAMA MTOTO WAKE ANARUKA NA MIMI KACANCEL KABISA HATOI CHOCHOTE HAPIGI HATA SIMU KUULIZIA MTOTO WAKEMajukumu yasiyo lazima.
Huyo dem ungekua ukijisikia hamu unamuita unajipigia, unampa 10000 ya usumbufu anaondoka zake.
Wewe ukaona ni bora uvute familia nzima uishi nayo.
Halafu wote sio ndugu zako.
Huyo demu sio ndugu yako, mtoto sio ndugu yako, mfanyakazi sio ndugu yako. STRANGERS!!!!
Mzee umeuvagaa mtumbwi wa vibwengo pambana.
Halafu pamoja na Majukumu yote hayo bila shaka bado kuna siku huwa unanyimwa unyumba bisha.