Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

NAMWAMBIA AMSHIRIKISHE BABA MTOTO, ANADAI HANA HISIA NAYE KABISA WALA HATAKI CHOCHOTE KUTOKA KWA BABA MTOTO WAKE, HIVYO TUSHIRIKIANE TUU MIMI NAYEYE MTOT ASOME, NA CHA KUSIKITISHA MTOTO NDO KWANZ YUKO LA DARASA LA PILI HIVYO SAFAR YA KIELIMU BADO NDEFU NA HATAKI DOGO ASOME GOVERNMENT KABISA
 
Kibarua!🤦🏽‍♀️
 
Kiherehere cha kujifanya anayaweza mapenzi na mtoto amuhudumie shule ya elfu 50 kwa term ndio ambadilishie mtoto shule? Akakope akomae mpaka kieleweke! Kulomba huwa ni raha mwanzoni tu majukumu yakiibuka ndio visingizio vinaonekana wazi..
HIYO 50000 NI KWA AJILI YA SKUL BUS KILA MWEZI
ADA NI MILIONI MOJA HIVYOO 250000 KILA ROBO MUHULA.
 
HIYO 50000 NI KWA AJILI YA SKUL BUS KILA MWEZI
ADA NI MILIONI MOJA HIVYOO 250000 KILA ROBO MUHULA.
Hebu tumieni akili, income yenu humo ndani haifiki hata 500k, hamjala, hamjalipa kodi na bills bado mnataka ada ya 1m! Mwambie ampeleke dogo kwa mzee wake, arudi mlombane mpk k ichanike!🫢
 
End of the day mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe, be specific kwake mueleze kwa kipato chako cha sasa hautoweza kuhandle hizo gharama hata kama hatofurahia kusikia ukimwambia hivyo.

Malengo yako kwa sasa iwe ni kukuza uchumi wako, be realistic hata kama itakulazimu kuachana naye, focus yako iwe ni kujiendeleza zaidi ya ulivyo sasa, maana kipato chako bado ni kidogo sana kubeba jukumu kama hilo.
 
MWANZON MAMBO YALIKUWA RAHISI SABABU BABA WA MTOTO ALIKUWA ANA CLEAR BAADHI YA VITU HIVYO NILIKUWA NA ENJOY KIMTINDO. ILA ALIPOGUNGUDUA TUU MAMA MTOTO WAKE ANARUKA NA MIMI KACANCEL KABISA HATOI CHOCHOTE HAPIGI HATA SIMU KUULIZIA MTOTO WAKE
Kwa hiyo ulikua unadhani siku zote mambo yatakua kitonga?

Kukaribisha familia nzima nyumbani kwako ni hasara hata kama wangekua wanajitegemea kwa kila kitu.
 
Akili ya mtoa mada haipo sawa, si bure atakua anapewa kisamvu na huyo single mother, boda boda akiwaza ilo tako linavorendemka samvu, atalipata wapi kwingine anamaliza hesabu ya siku huko Mwamba 777
 
Duuuh achana na baa medi, utakufa vibaya
 
Wewe ni msenge, ushalishwa limbwata, mwanaume mwenzako apige BAO wewe usomeshe afu yeye Yuko hai mzima wa afya anakula Bata, wee ushalogwa wewe shtuka mapema kimbia, ukute ndo mbinu wamepanga na mume wake.

Utakuja ujinyonge nyang'au wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…