Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Hayo ni mambo ya kuongea nae huyo mwenzio kwa uwazi,na ukitaka akuelewe vizuri uwe unamwambia wakati mkuyenge umemuingia
Pili tuache kuwadhalilisha hawa masingo maza kwa kuwapakaza sifa za kuwa watu wabaya ambao hawaeldwi kitu,kwamba ni wabinafsi
Mkuu ni hatari kijana kuingia kwenye Mahusiano na Single mother tena huyo Single mother hawe siyo Muislam, Mwanamke mwenye mtoto hana Mapenzi tena. Ukiwanae kwenye Mahusiano kama Mwanaume hujaoa basi unatakiwa kumkimbia, kwasababu hawana malengo wao wanakua na Malengo yao na Mtoto wake tu yani hamuwezi kupanga malengo ya kimasha yani yeye akili yake yote na mapenzi yake na mawazo yote yapo kwa mtoto wake tu, yani ukimfungulia Biashara itakufa kwa kutumia mtaji kwenye malengo yake binafsi mfano kununua kiwanja cha mtoto wake na kuanza kumjengea yani hata kama umezaa nae watoto 4.
 
Inabidi huyu single mother wa mtoa mada akupe namba ya mganga wake Seran
 
Ume generialize hoja kuwa kila single mother yuko hivyo
 
Mkuu ni hatari kijana kuingia kwenye Mahusiano na Single mother tena huyo Single mother hawe siyo Muislam, Mwanamke mwenye mtoto hana Mapenzi tena.
Kuna watu hamnaga akili sijui kwanini! Sasa akiwa muislamu ndio inakusaidia wewe nini?
 
Kuna watu hamnaga akili sijui kwanini! Sasa akiwa muislamu ndio inakusaidia wewe nini?
Mimi nimeishi kwenye jamii za Kiislam hasa Zanzibar wao kule Wanawake % 99 wanazaa ndani ya ndoa uzuri wao. Ubaya wao Wanaachika sana yani kwenye Wanawake 10 Waliozaa watoto mfano Watoto 6 utakuta Watoto wawili ndiyo wa Baba mmoja waliobakia kila mtoto na Baba yake na kila Baba anatoa huduma kwa Mtoto wake aliyemzaa. Sasa Mwanamke akiolewa kwa mara nyingine Watoto aliyezaa na Wanaume wa Mwanzo anawapeleka kwao na yeye anaenda kuanza maisha mapya. Na ukuti akimwambia Mume wake awalipie Ada na malezi watoto ambao hajazaa nae, Tofauti na Wanawake wa Kikristo wao Wana zaa nje ya ndoa na Baba hawajulikani sasa huyu Mwanamke itabidi atafute Mwanaume Mwingine ili kuhudumia mtoto wake au watoto wake yani Mwanamke anaingia kwenye Mahusiano ili akuze mtoto, Tofauti na Mwanamke wa kiislamu yeye anaingia kwenye ndoa siyo kwaajili ya kulelewa watoto ila wanaingia kwenye ndoa ili wasizini, na ndiyo Maana Wanawake wa Kiislamu wanaolewa hata mara 6 kote huko ame zalishwa na anaolewa tena. Kwahiyo utofauti ndiyo huo Mwingine anapeleka watoto wake kwao ili aanze ndoa yake mpya na huku Tanganyika Mwanamke analazimisha kuishi na mwanaume ili alelewe Mtoto wake ni sawa na kumrithisha Mwanaume Deni la Mwanaume Mwingine ili alilipe.Ndiyo Maana vijana wanakataa kurithi Deni la mtu. WAISLAMU WAO MAMA MMOJA BABA WENGI, TANGANYIKA BABA MMOJA MAMA WENGI.
 
Duhh hii kasheshe!
 
HILI NI DENI KWELI
 
🤣🤣🤣
 
Mwanamke ni mtamu ukiwa unamuazima katika himaya ya mwingine. Ila ukishamuweka katika himaya yako mwanamke huwa anaacha kuwa mtamu. Maana anaacha kukuonyesha mapenzi anaanza kukuonyesha gharama za maisha yake na ndio lugha mtakuwa mnaongea kila siku,ndio maana wanaume huwa hatuwezi kukaa na mwanamke m'moja kwa faida ya afya ya akili.
 
MREJESHO
SHULE ZIMEFUNGULIWA TOKA WIKI ILIYOPITA MIMI NIMESHINDWA KULIPA HIYO ADA,
SINGO MAZA ANAMPIGIA SIMU BABA MTOTO WIKI NZIMA SIMU HAZIPOKELEWI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…