Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Umesababisha mzazi mwenzake amkimbie halafu unataka ushauri kutoka kwetu,una akili kweli wewe?

Huo ni mzigo wako na unapaswa kumuhudumia kama alivyokua anahudumia mzazi mwenzake.

Nyie ndio mnaowarubuni masingo mama,wakiingia kingi mnawakimbia hadi mnasababisha watu wawatukane humu
 
Wahenga walisema, Mafahali wawili wakigombana ziumiazo nyasi. Sasa ugomvi wa dereva wa halmashauri na huyo bar maid wewe unakuhusu nini? Sababu za wewe kuweka kambi hapo ni zipi? Ungekuwa unampeleka kwako kidogo ungekuwa na maamuzi yako lakini hapo umetekwa kiakili; stuka 🙄
 
kwamba bodaboda katekwa akili?🙄
 
kwamba bodaboda matekwa akili?🙄
Ndiyo. Ukitizama mizani inaelemea upande wa mwanaume. Utabebeshwaje majukumu yasiyo yako na wewe ukubali? Kosa lingine ni kuhamia kwa huyo mwanamke. Sasa hapo katumia udhaifu wako wa mapenzi kuleta matatizo yake ya ada ambayo kiuhalisia, baba wa mtoto alipashwa kuyatimiza. Wewe huoni hapo akili za kutekwa?

Haya hiyo boda boda ikichakaa atakuwa na hela ya kununua nyingine au itakuwa imetumika kulipa ada ya mtoto tu na uhusiano uishe?
 
Kwanini unalea mtoto wa mwanaume mwingine kwani wewe hauna kizazi uzae wa kwako umlee?
 
kwahiyo bodaboda ni tahira kumbe! uhamie kwenye nyumba ya mwanamke ukitegemea nani awe anawahudumia? majukumu ya kawaida yanatakiwa humo ndani ndio aone katekwa akili? wakati anailomba akili iko sawa ila ikifika muda wa majukumu ndio akili hazimo zimetekwa lol mambo ni mengi sana.. 🙂
 
Umeyakanyaga ndugu
 
Ndiyo ni ufala kiwango cha SGR...Huoni hapo jamaa sasa ni victim of captive manipulation?
 
Baba mtoto wake ni dereva wa halmashauri fulani huko mkoani, na anampenda sana huyu dada, kiufupi baba mtoto anaonekana alikuwa na malengo na huyu single maza, hata kuhudumia alikuwa anahudumia kwa uwezo wake aliyojaliwa.
mistake kinoma, kujua kuna mwanaume anamuudumia na kujichukulia jiko(haina tofauti kubwa kubwa na umechukua mke wa mtu japo jamaa yupo mbali na anaihudumia familia ), ushaur wangu ikiwezekana peleka mtoto Governmt skul kwanza !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…