Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Hayo ni mambo ya kuongea nae huyo mwenzio kwa uwazi,na ukitaka akuelewe vizuri uwe unamwambia wakati mkuyenge umemuingia
Pili tuache kuwadhalilisha hawa masingo maza kwa kuwapakaza sifa za kuwa watu wabaya ambao hawaeldwi kitu,kwamba ni wabinafsi
 
mistake kinoma, kujua kuna mwanaume anamuudumia na kujichukulia jiko(haina tofauti kubwa kubwa na umechukua mke wa mtu japo jamaa yupo mbali na anaihudumia familia ), ushaur wangu ikiwezekana peleka mtoto Governmt skul kwanza !
Kiherehere cha kujifanya anayaweza mapenzi na mtoto amuhudumie shule ya elfu 50 kwa term ndio ambadilishie mtoto shule? Akakope akomae mpaka kieleweke! Kulomba huwa ni raha mwanzoni tu majukumu yakiibuka ndio visingizio vinaonekana wazi..
 
Mnapoambiwaga Unzizi ni zambi mnazani hadi ufe ndio ukazikute zambi zako kaburini, umewatenganisha wana familia kwa tamaa zako za kimwili, sasa unabebeshwa majukumu yaliyotakiwa ayabebe muhusika unaaza kutoa milio hapa.
Tuondolee ujinga wako Mzee.
 
lipa tu gentleman,
kwani sh.ngapi bana,
kwani mambo mangapi anakufanyia free na wakati mwingine unajikunja kama unadaka mpira kwenye 6kwa6?
 
Tatizo bodaboda mnapenda mteremko, huyu ulikutana naye ukijua ana mtu wake tena unamhudumia. Hela uliyokuwa ukimpa wakqti ule ilikuwa inamtosha sababu mahitaji muhimu alikuwa anapata kwa mhusika. Baada ya mhusika kugundua kuwa mali yake inaliwa akaamua akae pembeni.
Beba mqjukumu ni sahihi kukudai ada ya mtoto.
 

Wewe kama huwezi majukumu oa asiye na mtoto.

Hulipi ada za mtoto wa single mother, akiwasiliana na Mzazi Mwenzake nongwa..
Hivi humlipii mtoto wake Ada,
Mzazi mwenza amletee mapesa hata kama wametengana unafikiri hawataweza kupashana
 
Kiherehere cha kujifanya anayaweza mapenzi na mtoto amuhudumie shule ya elfu 50 kwa term ndio ambadilishie mtoto shule? Akakope akomae mpaka kieleweke! Kulomba huwa ni raha mwanzoni tu majukumu yakiibuka ndio visingizio vinaonekana wazi..
kulomba raha kweli ila inaponza, yan ghafla from single kuwa na familia, wife + mtoto + housegirl na yeye mwenyewe 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…