Single Mother anatafutwa

Single Mother anatafutwa

gwego1

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
265
Reaction score
897
Wasaalam.

Kutokana na pigo nililopigwa Leo! Nimebadilisha msimamo. Natafuta mwanamke angalu mwenye mtoto mmoja wasizidi wawili.

Hope huyu atakuwa ashapigwa matukio ya kutosha! Na Mimi pia. Utakuwa ni mwanzo wa kupeana pole, Na kuyasahau ya nyuma.

Single mothers karibu DM tuyajenge! Ukiwa Kanda ya ziwa itapendeza zaidi.

Mwisho.
 
Huwa nawatetea single mothers kama binadamu wengine ila ukitafakari ni wanawake wasiopaswa kuzingatiwa kwenye jamii ya watu wastaarabu. Wengi wao walizalishwa kwa kiherehere chao cha kukimbilia mapenzi kabla ya muda. Kibaya ni kwamba wakati wakiwa mapenzini kabla ya kuzalishwa huwa hawasikilizi mtu yeyote wakiwemo wazazi zaidi ya hao wanaume zao. Wakitelekezwa ndo hutia huruma nakuanza kujigongesha kwa wanaume waliowakataa mwanzoni kwa dharau. Kinachokera na kuumiza zaidi ni kuwa single mothers wote huendelea kuwa na mapenzi na wanaume waliowazalisha kwa maisha yao yote. Ikitokea mwanaume wake anataka kurudi basi atakuacha mchana kweupe bila kujali maumivu yako. Hata hawa single mothers waliofiwa na baba watoto zao ni wapumbavu kwasababu mapenzi yao huwa kwa marehemu zaidi na watoto wake. Utakubali kuoa mtu ambaye kila mwaka husherehekea birthday ya marehemu? SAY NO TO SINGLE MOTHERS.
 
Back
Top Bottom