Single room inahitajika Dar

Single room inahitajika Dar

Magnetics

New Member
Joined
Aug 19, 2020
Posts
2
Reaction score
0
Habari zenu wadau, kama kuna mtu anahama hivi karibuni maeneo ya Makumbusho, Ubungo, Kijitonyama na maeneo ya karibu naomba anicheki.

Kama kodi imebaki miezi kadhaa tutamlipa.
 
Unataka chumba cha kodi kiasi gani kwa mwezi? Uwezo wako ni kulipa miezi mingapi kwa mkupuo?
 
WEWE ni dalali ama...kuna chumba...Tabata self kimoja na kuna kingine chakawaida lakini hakina singboard...kazi kwako
 
Back
Top Bottom