Single Searching

Hicho kizungu SASA wanachuo wa Udsm, IFM, CBE, Tumaini, Utumishi pale mkuje huku kuna Mzungu Baharia kaachwa na Meli huku [emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuweka kingereza umekosea na pia ukiwa single kama wanajua hawa utakaliwa wewe kila unayemtongoza sasa ngoja upate demu sasa wanakuja kama utitiri d
 
Kwahiyo huu uzi ni wa wazungu tu[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Mtafuta mrembo mmoja hapa financial services. Atakufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…