Singles really talk in Mwanza

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,741
usikose kama upo Mwanza na pia ni single... kwa jinsia zote na kwa watu wote na ni bure kabisa bila kujari imani yako.maswali na majibu yatakuwepo.
 

Attachments

  • 1471986932802.jpg
    106.2 KB · Views: 47
Hilo kanisa la MICC ndo kanisa gani? Ohooo can't miss kwakweli
 
Reactions: lup
Hilo kanisa la MICC ndo kanisa gani? Ohooo can't miss kwakweli
liko chini ya T.A.G. ila kwa nembo yao..ni kama la kirumba kwa mchungaji Rugwisha... au piga hizo cm hapo
 
masaa ndio haya jamani tusikose wala kuchelewa huenda ndio ukapata muujiza wako
 
Kila kitu nikuelewana ,ukiwa mkweli tunayajenga.ww njoo pm unijue vzr
khaaa mm nataka maombi waniombee kule kwenye hiyo semina aliyoitangaza mkuu hapo juu kwa thread yake

anza maombi kwanza bila kwenda huko PM hakuna faida zaidi ya maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…