fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Usileteutani bro kwenye mambo ya binadamu mwenzioSawa mwanaume nimeshakuja, mkkkt mwezako.
Ni mmarangu,umri 36,ana mtoto wa kike anasoma darasa la 7,anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani,dodoma na ni mkkkt.Anatafuta mwenza ambae watakubaliana kuishi pamoja na kupata watoto,na watashirikiana kila kitu kwenye maisha.kama kuna mwanaume atavutiwa na hizo sifa basi aje inbox.Mwanaume awe na kazi,au biashara,hana ubaguzi kuhusu dini,awe mkristo au mwislamu sawa tu.
Kwani akizaa ndo maisha ya mapenzi yameishia hapo?Jtu limeshazaa linataka nn tena ? Kwani mbona mna tamaa sana kama kuzaa si umeshazaa.
Kwani hatoshi ,unataka kuleta tamaa .Kwani akizaa ndo maisha ya mapenzi yameishia hapo?
Maneno makali Sana wee mchinaKwa hiyo anatafuta mwanaume bwege wa kulea bao la ex wake?
Hatoshi Nani?Kwani hatoshi ,unataka kuleta tamaa .
36? Huyo Expired date yake ilikuwa 30. Kwa hiyo: Use at your own riskNi mmarangu,umri 36,ana mtoto wa kike anasoma darasa la 7,anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani,dodoma na ni mkkkt.Anatafuta mwenza ambae watakubaliana kuishi pamoja na kupata watoto,na watashirikiana kila kitu kwenye maisha.kama kuna mwanaume atavutiwa na hizo sifa basi aje inbox.Mwanaume awe na kazi,au biashara,hana ubaguzi kuhusu dini,awe mkristo au mwislamu sawa tu.
Katumia silaha za kivita kwenye kikao Cha familiaManeno makali Sana wee mchina
MmmmmmmmNi mmarangu,umri 36,ana mtoto wa kike anasoma darasa la 7,anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani,dodoma na ni mkkkt.Anatafuta mwenza ambae watakubaliana kuishi pamoja na kupata watoto,na watashirikiana kila kitu kwenye maisha.kama kuna mwanaume atavutiwa na hizo sifa basi aje inbox.Mwanaume awe na kazi,au biashara,hana ubaguzi kuhusu dini,awe mkristo au mwislamu sawa tu.