Tuelimishe jamii yetu namna bora ya kutumia choo na kuzingatia usafi bila kifanya hivi, hata ukigeuza namna nyingine yeyote huwezi kuliepuka hiliWakuu hivi huu mfumo umekaa kitaalamu au ni mazoea tu, sink kuelekezwa upande wa mlango. Vyoo vingi hujengwa hivyo na kuna watu sio wastaarabu akimaliza haja hamwagi maji kuondoa mikojo kwenye floor.
Hii kitu inafanya mazingira ya choo kuwa mabaya kwa mtumiaji mwingine kuanza kukanyaga mikojo ya watu.
Hiyo nyumba unajenga somaliaNi vyema mtu akajisaidia haja kubwa akiwa ametazamana na mlango au mlango kuwa kushoto au kulia kwake na si kuupa mlango mgongo ili likitokea la kutokea humo ndani awe katika nafasi nzuri ya kukimbia au kupambana. Kumbuka hicho chumba ni kidogo.
Sasa ukiwa umeupa mgongo mlango na ukashituliwa hebu piga picha utakavyokurupuka na kujiumiza!