hONGERA Comrade SinkalaTayari nilishaoa Mkuu, nashukuru Mungu mambo yalienda vizuri, na pia nachukua nafasi hii kuwashukuru members waliojumuika nami kwa namna moja au nyingine.
Haa haa haaa!!! Naona yeye ametangulia mbele yangu, sasa sijui tuseme mimi nampeleka au yeye ndo ananipeleka !!! All in all, nashukuru kwa baraka zako!By the way nakuona hapo kwenye avatar yako umemchukua mbuzi unampeleka ukweni kusema asante!
AmenAll in all, nashukuru kwa baraka zako!
Yeah, wakuu Fidel180, Geoff na Maxence Melo walikuwa pamoja nami. Yupo pia member ninayemfahamu kwa jina lake halisi ila ID yake humu siijui, yeye pia alikuwepo ila sitamtaja hapa.Vp uliweza kumtambua mwanajf yeyote hapo ukumbini?
Yeah, wakuu Fidel180, Geoff na Maxence Melo walikuwa pamoja nami. Yupo pia member ninayemfahamu kwa jina lake halisi ila ID yake humu siijui, yeye pia alikuwepo ila sitamtaja hapa.
Ha ha haaa!! Nadhani unamtilia shaka kutokana na zile thread zake za wiki iliyopita zenye title ya "Ananing'ata" na "Naambiwa ana mimba yangu". Mimi naona ni muungwana tu, ila kwa kuwa sasa yupo offline, tusubiri atakapokuja kulogin humu, nadhani atajibu tuhuma hizo !!Du...hii kali.
Na Fidel180 alikuwepo! huoni kuwa ni tishio kwa usalama wa ndoa yako! Ni mchafuzi sana huyu jamaa, usicheke nae bana! Chunga sana simu ya mkeo mzee, usikute keshaanza kumdipudipu!
Ha ha haaa!! Nadhani unamtilia shaka kutokana na zile thread zake za wiki iliyopita zenye title ya "Ananing'ata" na "Naambiwa ana mimba yangu". Mimi naona ni muungwana tu, ila kwa kuwa sasa yupo offline, tusubiri atakapokuja kulogin humu, nadhani atajibu tuhuma hizo !!
Naomba nianze kumtetea mshikaji wangu Fidel80 kuwa hana hizo tabia kabisa na Mhe. Jimmy please husimchafue mshikaji kiasi cha watu kumuogopa kama ukoma. Mimi kwanzan naona alistahili pongezi kwa kwenda kumpa kampani mdau mwenzetu na hii kimsingi ni kutuwakilisha sisi ambao tulikuwa na nia ya kwenda lakini hatukuweza kufanya hivyo.Du...hii kali.
Na Fidel180 alikuwepo! huoni kuwa ni tishio kwa usalama wa ndoa yako! Ni mchafuzi sana huyu jamaa, usicheke nae bana! Chunga sana simu ya mkeo mzee, usikute keshaanza kumdipudipu!
Naomba nianze kumtetea mshikaji wangu Fidel80 kuwa hana hizo tabia kabisa na Mhe. Jimmy please husimchafue mshikaji kiasi cha watu kumuogopa kama ukoma. Mimi kwanzan naona alistahili pongezi kwa kwenda kumpa kampani mdau mwenzetu na hii kimsingi ni kutuwakilisha sisi ambao tulikuwa na nia ya kwenda lakini hatukuweza kufanya hivyo.
Waambie tuu kama ni mimi!Yeah, wakuu Fidel180, Geoff na Maxence Melo walikuwa pamoja nami. Yupo pia member ninayemfahamu kwa jina lake halisi ila ID yake humu siijui, yeye pia alikuwepo ila sitamtaja hapa.
Comrade JimmyMzee Sipo unataka kunambia humjui Fidel180 wa humu ndani alivyo na anavyo`behave?...! !
By the way nakuona hapo kwenye avatar yako umemchukua mbuzi unampeleka ukweni kusema asante!
Unajua tena, huyo mnyama kwa makabila mengine ni kitoweo kwa hiyo kupunguza ukali wa lugha simply tunamuita 'mbuzi' Inawezekana mkuu Sipo ni mnyalu ndo maana akamuita mbuzi !! π....huyo mbwa ama mbuzi? sijavaa miwani yangu!
Aaah! Aaah! Aaah! Aaah! Aaah!Unajua tena, huyo mnyama kwa makabila mengine ni kitoweo kwa hiyo kupunguza ukali wa lugha simply tunamuita 'mbuzi' Inawezekana mkuu Sipo ni mnyalu ndo maana akamuita mbuzi !! π
Unajua tena, huyo mnyama kwa makabila mengine ni kitoweo kwa hiyo kupunguza ukali wa lugha simply tunamuita 'mbuzi' Inawezekana mkuu Sipo ni mnyalu ndo maana akamuita mbuzi !! π
... au alikatishwa tamaa na vitisho vya akina Fidel180!
Na je kama ilifanyika, wanaJF mnaoishi huko Darisalama mlihudhuria?
Mkuu mm nilimpa hongera kwa maamuzi mazito aliyoyachukua kwa niaba ya members mm nilihudhuria sherehe hiyo nilikuwepo kwenye eneo la tukio kwakweli tulienjoy tulikula na kunywa na kusaza kwakweli harusi ilifana sana. Jamani atakae taka kufunga harusi hivi karibuni njooni hapa JF tangazeni watu tutawapa support.
Shukrani mkuu Sinkala sasa najua shem anapika na kupakua swaaafi kabisa.