WOWOWO
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 599
- 456
Ni wazi matokeo ya uchaguzi mdogo (Ule wa udiwani na sasa wa Jimbo Kalenga)
umeacha maswali mengi sana vichwani mwa wapenda mabadiliko. Whether CHADEMA has gained popularity or not remain unclear to majority maana mwisho wa siku kinachotazamwa si kura za miaka iliyopita bali kura za sasa.Si malalamiko ya wapiga kura kutojitokeza au daftali la wapigakura kutoboreshwa bali sababu za chama kujisukuma kwenye chaguzi hizi wakati kikijua wazi mazingira hayo.
Kwa ujumla kwa jinsi mwenendo wa mambo ulivyo kwa kuangalia tu rekodi ya Kalenga na malalamiko CHADEMA iliyotoa hakuna muujiza utakaotokea Chalinze.Ni wazi CHADEMA ina uhakika mkubwa wa kushindwa. It is the matter of time. Ni kweli CHADEMA imejitosa kwenye kinyang'anyiro, inaweza kufanikiwa kufikisha ujumbe,kutumia platform hii kueleza sera zake na ubovu wa zile za chama tawala au hata kwenda mbali kuzungumzia 'Ufisadi' binafsi wa Mgombea wa CCM Ridhiwan Kikwete but what remain clear they are not contenders to this election.
Wakati hali iko hivyo chama hicho kimezongwa na unsolved internal and external issues nyingi sana. To mention few; sakata lake na Zitto, uchaguzi wake wa ndani ambao hadi sasa ni kitendawili. Aidha,ikumbukwe mwaka huu kuna issue ya katiba na uchaguzi wa serikali za mitaa. Yote haya yakijumuishwa na issues kama za referendum ya katiba (kama tukifika huko) na pressure katika kuboresha daftali la wapiga kura ktk chaguzi poll zote (referendum, s/mitaa na ule mkuu) kunaacha kiza totoro mbele.
One issue is; CHADEMA ni taasisi lakini inayopaswa kuonesha beyond reasonable uongozi katika masuala mbalimbali.Swali la kujiuliza katika mazinira haya iko katika mstari mweupe au mwekundu?