McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,129
- 12,639
Bei!?
Bei!?
Kuna siku nilikuta madereva wa malori wanalalamikia makari ya kichina kuwa yanaua viuno
Asante kwa ufafanuzi mzuri 🙏Si model zote
Ila gari hasa hasa kampuni ya FAW, Hazina comfortability kuanzia leg room hadi cabin suspension
Zimebandikwa a.k.a "FAW MAYELE"
Kamata moja,Mipunga tuu
Kuna kampuni nyingi,Mbona bei zinatofautiana sana na wenyewe au wewe dalali?
Bei ya 51 unaweka 56
Ngoja niende kupata quotation tena.
Aidha zimepanda kwa mda wa wiki mbili au vingine
Kila kitu mpaka registration na after serviceHizo bei ni Tax and duty inclusive au?