McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,129
- 12,639
- Thread starter
-
- #21
Kuna kampuni nyingi,Mbona bei zinatofautiana sana na wenyewe au wewe dalali?
Bei ya 51 unaweka 56
Ngoja niende kupata quotation tena.
Aidha zimepanda kwa mda wa wiki mbili au vingine
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri, swali moja la ziada Mkuu.Kuna kampuni nyingi,
Na wapo wateja ambao hawaprefer zilizokuwa assembled in Tanzania, kwao wameona zinabaadhi ya mapungufu
Sisi biashara yetu ni kuuza ambazo ziko assembled au refurb directly kutoka China
Na hicho ndicho kinacholeta pia utofauti pia kwenye bei
- Importer anayeingiza parts for assemble kodi yake iko chini tofauti na anayeimport gari lote zima
Ni kama upande wa SAAB Scania,
Wapo wateja wanaoprefer Scania Buses with Marcopolo Body directly toka Brazil ambao wao hawachukui SAAB wanaagiza toka Brazil wao wenyewe etc
Eg. Kilimanjaro Express yeye huagiza body zake South Africa directly na chases huchukua aidha SAAB au UK na kuvalisha huvalisha yeye mwenyewe kwa kukwepa bei kubwa kwa kuagiza SAAB au lote kutoka abroad
View attachment 3431998
View attachment 3431999
Samahani nimeiona hii Je bei zake zipoje nafikiri ni 8x4Kuna kampuni nyingi,
Na wapo wateja ambao hawaprefer zilizokuwa assembled in Tanzania, kwao wameona zinabaadhi ya mapungufu
Sisi biashara yetu ni kuuza ambazo ziko assembled au refurb directly kutoka China
Na hicho ndicho kinacholeta pia utofauti pia kwenye bei
- Importer anayeingiza parts for assemble kodi yake iko chini tofauti na anayeimport gari lote zima
Samahani nimeiona hii Je bei zake zipoje nafikiri ni 8x4 View attachment 3432039
Vipi kuhusu malipoHowo TX 8 x 4
Kabla ya Ushuru: $ 48000
Baada ya ushuru + Reg: $ 75000
Ya zamani sio ya sasa ni comfortableKuna siku nilikuta madereva wa malori wanalalamikia makari ya kichina kuwa yanaua viuno
Sana Boss WanguNajipanga nimvute zuchu wangu nikapige kazi porini pesa zimejaa tele porini
Shida ni ushuru wa kukomoa ili wengi wasimiliki magari.Howo TX 8 x 4
Kabla ya Ushuru: $ 48000
Baada ya ushuru + Reg: $ 75000
Zipo kuanzia 371HP - 420HP kwa 6 x 4 ConfigHowo tx na Sitrack ni HP ngapi
Serikali yetu inajua yenyewe,Shida ni ushuru wa kukomoa ili wengi wasimiliki magari.
Cha kuwekea ushuru mkubwa ni kipi cha ziada
Wangeyaacha yaaingie free wangepata kodi ya kutoshaSerikali yetu inajua yenyewe,
Tuna vipengele vingi mno
8x2 chassis pia mnazo? Bei?Zipo kuanzia 371HP - 420HP kwa 6 x 4 Config
Kwa TX 8 x 4 kuna mpaka ya 440HP Config
Wangeyaacha yaaingie free wangepata kodi ya kutosha
8x2 chassis pia mnazo? Bei?
Vipi kuhusu malipo
Kama ni instalment, down payment ni ngapi
Maisha fumbo mno,Mimi hata hela ya bodaboda sina daah maisha haya