Sinta na Lemutus Malechela (new couple in town)

Status
Not open for further replies.

yoelisahe

Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
72
Reaction score
21
couple yenu nimeikubali,tunawatakia maandalizi mema ya mtoto mtarajiwa hivi karibuni,pia maandalizi mema katika harusi yenu.
 
Tayari ujauzito kabla ya ndoa!? Siku hizi mambo maadili tupa kule, BTW nawapongeza kwa kuamua kua pamoja, kila laheri.
 
couple yenu nimeikubali,tunawatakia maandalizi mema ya mtoto mtarajiwa hivi karibuni,pia maandalizi mema katika harusi yenu.
kwani Lemutuz ni RIJALI??...me najua yule ni mtoto mchelemchele coz anakaa nyumbani kwa baba yake...kazi kufumua mahausigeli
 
Mchelemchele unamaanisha zile jeans za miaka ya 90? Kie kie kie kie
 
khaaaa baharia alikuwa hajaoa au alioa aka divorce?
haha haha haha mamen !!!
 
dah,haya makahaba ya tz hayachoki jamani?umri unakwenda lakini wa wapi
 
Da kweli kaka kitambo tangu enzi Sitaki Dem..hajafikisha 35 kweli huyu?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…