Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

Nature anaishi maisha yake,haigizi, bongo mtu akiwa real akiishi Maisha yake bila kuigiza anaonekana mshamba

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah nature..Juma Kassim Kiroboto, namkubali sana muhuni yule! I wish Bongo Records ingebaki kuwa juu mpaka sasa bila kubaniwa na clouds kusingekuwa na vinyimbo uchwara redioni!
 
Ila Karen Peyton alikua balaa yule mtoto! Nakumbuka enzi hizo Java Sea Cliff piga sana misele.
 
Me nadhani kutokana na haya yooote basi dada zetu wajifunze, wajue kwamba wanakonga mapema sana! Mimi Leo uniambie niwe na Nina na kila mwezi ntapewa 2M basi nakataa.

Be humble and just know after you reach 35, you are gone kabisaaaa
 
Ukitaka kujua madem waliokuwa wanasumbua enzi hizo na sifa zao basi tafta wimbo wa FA mabinti

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwataja wote, kina Faudhia sijui kina Foya yani dah! Kipindi watoto wa Obey, Masaki, City Centre, Upanga, K.Koo pamoja na watoto wa uswahilini kiwanja pekee ilikuwa Bills pale. Mademu wote wakali wa mjini utawakuta mle!

Life will never be the same, maisha ya kileo yametutenganisha sana vijana!
 
Sinta
Nora
Nina

Aisee nilikuwa nawapigia nyeto.
Hasa Nora yani alifanya niwe namchukia Dr Cheni, vile wakiigiza kama mpenzi wake alafu mara aigize analiwa na yule dogo jina limenitoka alikuja kuwa mtangazaji wa ITV badae.

Time flies saizi sio mastaa tena. Enzi hizo insta zetu ilikuwa ni kiu, ijumaa, sun ha ha ha

Dumelang
 
Mbona huyu cheni hazeeki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi hizo kina Monalisa,Noorah na Sintah walikuwa moto wa kuotea mbali.
 
Unamzungumzia BIKO.
 
Ukitaka kujua madem waliokuwa wanasumbua enzi hizo na sifa zao basi tafta wimbo wa FA mabinti

Sent using Jamii Forums mobile app
CHORUS

Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam, kweli kweli
Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh!

Kuna kifua kama cha zay B
Kiuno kama cha Ray C na pozi Jay D na sauti kama Fina
Au labda ya aunt Ndina ipo njema matabasamu
Kama binti Maumba wa kino Msio nidhamu
Mtafanywa mpende ngono Hold on!
Kuna pozi za kimtoni kama Tausi Likokola
Unataka ni full bakora mabinti wangali wanang’ara
Warefu warembo kama twiga mithili ya Happy Magese
Midomo kama ya Shose
Utapenda uonekane yaani viwanjani ututese
Au binti maarufu utasema Aina anatosha?
Kama nnataka mwanya nafahamu wapi ntaupata
Mwite Aminata wa keita
Binti wa vigogo unamtafuta Mboni Mhita?
Mwili utakaokufanya upende love kama wa Mercy
Na macho yanayovuta kama ya Miriam wa Ikoa
Unaweza utangaze ndoa
Wengine mziki kama Shanice
Au kama connie stephans
Naiota rangi ya Caroline na lugha tanu kama ya Seven
Najua mnawaita masister Du! bendera hewani
Sometimes wavute widdy Mentally japo wazuri
Mithili ya Kibibi
Miondoko kama Faudhia
Au ungependa kithethe mithili ya Radhia
Watoto wa shule wassiwafanye mpagawe
Ilhali kuna wenye haiba kama Halima Bandawe
Mi kwa mabinti -nisahauliwe

CHORUS

Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam, kweli kweli
Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh!



[emoji838]
 
Jaman ila si ilishabak stori au...... kwel mambo ni mengi mda mchache
 
Umenikumbusha mbali kiongozi, kuliwahi kuwa na mwanamke mkali kichizi pia enzi hizo, Nina nadhani alipotelea wapi huyu mrembo, nisamehe kiongozi kwa kwenda nje ya mada!

Huyu Demu "Nina" nilikuwa namtamani sana enzi hizo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…