Kizinga mpemba
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 218
- 194
HahaaaaSauti ya nora ilikuwa inanifanya namuonea huruma bila sababu.
Biko.Sinta
Nora
Nina
Aisee nilikuwa nawapigia nyeto.
Hasa Nora yani alifanya niwe namchukua Dr Cheni, vile wakiigiza kama mpenzi wake alafu mara aigize analiwa na yule dogo jina limenitoka alikuja kuwa mtangazaji wa ITV badae.
Time flies saizi sio mastaa tena. Enzi hizo insta zetu ilikuwa ni kiu, ijumaa, sun ha ha ha
Dumelang
Dah!!!Mzee machache kumbe kawatelezeshea nyoka pangoni mabinti wengi bongo,hongera zake.Mzee machache alikuaga na mtoto mmoja mzuri wa kimasai,,
Huyo mtoto akaja kuondolewa na sinta. Sinta nae akaja kuondolewa na k nani cjui yule mrembo wa miss tz,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tusio wadaku mchana tulikamata ALASIRI na DAR LEOHiyo bei ilikuwa shida sana, yani 100 tu unapata Ijumaa, uwazi, risasi nadhan na akina Kasheshe hahahaba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah watoto wa kizazi cha Luku hawawezi elewa hizo hustle😀😀😀Kweli maisha yametutenganisha. Enzi hizo umeme ukikatika ni mtaa mzima...ukirudi watu/watoto wanapiga shangweeee ""Huuuuuuoooioo""
Sasa hivi, unalala giza jirani ana umeme[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam...huyohuyo,bwana mdogo mmoja alipitiwa na upepo wa hela za sangara wakati ule.Watoto wanacheza Salma Corn wakubwa Delexe
Hahahaa IDD LIGONGO aka BIKOHa ha huyo huyo kumbe jina lake ndio limebeba Jina la bahati nasibu
Dumelang
Hahaha alivaa nini sasa?Kuna wakati alienda kutangaza Radio Clouds Mwanza,pale jengo la CCM round about...akiwa na mtangazaji wa Clouds ya Mwanza ambapo kuanzia saa 9 wanajiunga na Clouds Mwanza na Dsm hawasikiki,huyu jamaa wa Mwanza jina limenitoka kidogo.
Alipofika Mwanza,kuna bwanamdogo mshamba tu alikuwa anaitwa Jose Masamaki akambeba Sinta,enzi hizo anamiliki mitumbwi na samaki inakufa sana ziwani.Alikuwa anakula bata pale Deluxe Hotel barabara ya Uhuru karibu na Salma Corn.Pale Delux ilikuwa kijiwe cha wahuni wa kutoka Migodini Geita na vijana wa Samaki Mwanza.
Kulikuwa kuna Malaya wanajiuza toka Rwanda ila wanajidai ni Wanyambo wa Karagwe...Kuna jamaa yangu tumeenda Mwanza akalala hapo Deluxe na mtoto wa Kigali,asubuhi akakuta hata suti aliyotundika ukutani kuvaa kaa ajili ya semina imetunguliwa.
Ilibidi twende Kenyata Drive,karibu na Nyanza palikuwa na duka la Mhindi anauza nguo,akampatia
Kwenye inaniuma sana anadai ilimuuma sana alivyoona Sinta akipigwa denda kwenye dirisha la gari mpaka gari ikagoma kwendaaaaaaaa.Nature huyu dem alimpenda sana,alipomzingua akamtungia nyimbo tatu za kumponda (Sitaki Demu na rmx yake,Inaniuma sana) .
umemsahau mwanamitindo khadija mwanambokaZamani kulikuwa na mademu visu natural kama kuna Nargis Mohamed, Sinta, K Lyinn, Nancy Sumari, Amina Chifupa, Rah P na wengine wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kujua madem waliokuwa wanasumbua enzi hizo na sifa zao basi tafta wimbo wa FA mabinti
Sent using Jamii Forums mobile app
Marehemu George Tyson akamuacha Amina Chifupa akaenda kwa Monalisa! Marehemu Meddy Mpakanjia akamuacha Monalisa akaenda kwa Amina Chifupa!Enzi hizo kina Monalisa,Noorah na Sintah walikuwa moto wa kuotea mbali.
Hata sijui naona yule mshikaji toka alivyoachana na Nora then akaja kufa yule kaka...norah aliolewa tena mzanzibar ndoa haikudumu hata kidogo!!!yupo nafikiri anatumia ustaa wake kuishi mjini
Ndiko bibie alikopata kala ka Mark IIMzee machache naye Kumbe alipitaga!
Huyu mzee katuzidi pesa mpaka kugegeda.
Duuuuh Monalisa naona kama kuna "GRIDI" hapa.Marehemu George Tyson akamuacha Amina Chifupa akaenda kwa Monalisa! Marehemu Meddy Mpakanjia akamuacha Monalisa akaenda kwa Amina Chifupa!
RIP George Tyson
RIP Meddy Mpakanjia
RIP Amina
Acha tu.. Watu wameanza kudanga kitambo!Duuuuh Monalisa naona kama kuna "GRIDI" hapa.