Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Blogger Sintah Amemchana Irene Uwoya baada ya Picha zake za Mahaba kusambaa Akiwa na Kiserengeti Boy cha THT.
Jisomee Alichosema Sintah,
Katika dawati letu hatusemi mengi zaidi ya kusema Irene, Irene, Irene? why
This is what we call jumping from the frying pan into the fire, if i were you (Irene) would remain single for a while.
Hivi bila kuonyesha mahaba hadharani ndio hupendwi vile?
Mmmmh au ndio tujue mwenzetu umezama katika dimbwi la mahaba sasa tukuwacheee.