Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Bora angetulia na mumewe tu maana anahangaika tu
akikua ataacha, urembo wa dada zetu ni wa muda mfupi sana, akifika 32 tu hataona salamu tena, muacheni atumie urembo wake kabla jua halijazama.
mumewe ni yupi?
Ndo shida ya kuwapendea wanaume kisa pesa au wanakaa ulaya wakifulia mnawaona kama vidudu

Si yule mcheza mpira wa Rwanda na jina nishamsahau

Huyo malaya uwoya ukiwa na sent zako za machungwa tu unang'oa.