SINTAH holder of unrecognize master degree from unknown university- historia yake

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
HUYU SINTA AU CHRISTINA Sijui nani nani, kwa sasa hivi anatamba sana na kudae kuwa yeye ana masters ya international relation, tunavojua huyu sintah pindi alipomaliza form 4 hakuwahi hata kunusa div 3.namshangaa kazi yake ni umbea na kujitapa, mara ajiite lekcheraa, mara muadhiri. alienda uganda na nasikia huko alikuwa kiche mkubwa, hana elimu yoyote ni kilaza mkubwa. Alipewa mimbauganda akaitoa. the serial killer jlo sintah
 
Kwanza vile virusi vyake alishavitoa??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mjini shule!!!! saiv ni anatoka na okwi

Mungu awajalie wafunge ndoa na kudum
 
mmmh!!sintah yup?huyuhuyu aliyekujaga kwetu mwanza kula sangara kipndi amepgwa kibuti na nature?
 
Sintah huyu rafiki wa Agness au?
 
pale jamii inaposhuka kiwango kutokana na udhaifu wa post yaani hii post imefeli pia yaani mwanzo hadi mwisho inaonesha mtoaji ana visa na Sinta......ni mtazamo tu nisiwe adui yenu mliyoifurahia
 
Wakuu tatizo la JF tuna tabia ya kuwa tunajadili wenzetu kwa hisia bila sababu. Nadhani sio jambo jema sana.
Mtu anapigana na life yake hata kama kafoji vyeti au ni changu, ndo maisha yake yanaenda.
Mbona tuna vihiyo wengi serikalini na bungeni ila tunawaita waheshimiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…