duh!!! kazi ipo,atachakaa sana kwa mtindo huu
HUYU SINTA AU CHRISTINA Sijui nani nani, kwa sasa hivi anatamba sana na kudae kuwa yeye ana masters ya international relation, tunavojua huyu sintah pindi alipomaliza form 4 hakuwahi hata kunusa div 3.namshangaa kazi yake ni umbea na kujitapa, mara ajiite lekcheraa, mara muadhiri. alienda uganda na nasikia huko alikuwa kiche mkubwa, hana elimu yoyote ni kilaza mkubwa. Alipewa mimbauganda akaitoa. the serial killer jlo sintah
mmmh!!sintah yup?huyuhuyu aliyekujaga kwetu mwanza kula sangara kipndi amepgwa kibuti na nature?
Hasingefanya hayo anayoyafanya...mngemjadili vipi hapa JF?! Publicity is publicity...good or bad!
OKWI ndo nini?????mjini shule!!!! saiv ni anatoka na okwiMungu awajalie wafunge ndoa na kudum
Mi yule mdada mi simuelewagi kabisa sijui ana matatizo gani!
Mh mwanamabadiliko u have done beyond kwakwel! unamdai sintah? alishawah kukutukana? ulishakua nae kimapenzi akaku cheat? ucngestahli kum undergrade kiac hcho hta km amekukera kiac gan. U shuld have a wise mind that every person has the right to do his/her wish but asivunje sheria. yawezekana hta wewe unafanya mambo mara 10 ya anayofanya sintah bt because yo nt famous unajion yo at the right position thn unaanza kuwakosoa wengne. CJAPENDA............................
Wewe umekuja kiugomvi ugomvi humu .Be nice to people degree ya Sintah inakuhusu nini? Amekuomba umlishe au umvalishe .Awe na degree asiwe nayo it's not your business .Usitake Kwenda Motoni kwa ajili ya chuki Zako binafsi .Chukua simu mpigie muelewane .Life is too short to think about Sintah's degrees .Sintah will be Sintah and you utakuwa you .Shetani anakutumia vibaya Usiwe na chuki hivyo ukute hata usingizi hujalala kuwaza Jinsi gani utumie jina gani email gani uingie humu.Be nice,smile ,enjoy the nature ,love people .HUYU SINTA AU CHRISTINA Sijui nani nani, kwa sasa hivi anatamba sana na kudae kuwa yeye ana masters ya international relation, tunavojua huyu sintah pindi alipomaliza form 4 hakuwahi hata kunusa div 3.namshangaa kazi yake ni umbea na kujitapa, mara ajiite lekcheraa, mara muadhiri. alienda uganda na nasikia huko alikuwa kiche mkubwa, hana elimu yoyote ni kilaza mkubwa. Alipewa mimbauganda akaitoa. the serial killer jlo sintah