Chairman Lee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,353
- 1,492
Hichi kingereza daahkwani unapoambiwa hivo unafkiria nn? tuanze kwnz na ww mwenyw whats an ur mind about that words
Numbisa mchokozi kweliSio kila maana uliyonayo na wengine wanayo ya namna hio. Tulia ujazwe wewe!
Usikute umeshaongezewa MBs za bure ndio hizi unaingia nazo JFTANGAZO
Nasikitika sana kuwaharifu ndugu zangu jamaa na marafiki wote kuwa sintaweza kuendelea kutumia mtandao wa TIGO hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimevumilia sana ila nimeshindwa na udhalishaji huu hasa pale unapo mpigia mtu unapata ujumbe huu ''' JAZA U JAZWE"" kwa kweli mm huwa sipendi hichi kiujumbe Ahsanteni [emoji120]