evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
Stor nzuri ila hujatulia ktk kuandika mama...[emoji12]Hat ukuta tunaruhusiwa kucheza nje ya nyumba, sasa nilikwenda kucheza nyumba ya pili, katikati ya mchezo niko na gari ya msure nikawaambia washkaji wanifunike mkeka.
Singing amefika home anauliza Sky yuko wapi? Bro alikuja kunichukua nimefika ninaona macho ya dingo ndani ya miwani ananiuliza unataka wapi? Nilijibu sijambo shikamoo baba Huku mikojo inatoka.
Alinionea huruma sana
Hahahaha nimejikuta nacheka kwa sautiHatukuwa tunaruhusiwa kucheza nje ya nyumba, sasa nilikwenda kucheza nyumba ya pili, katikati ya mchezo niliona gari ya msure nikawaambia washkaji wanifunike mkeka.
Msure amefika home anauliza Sky yuko wapi? Bro alikuja kunichukua nimefika ninaona macho ya msure ndani ya miwani ananiuliza unatoka wapi? Nilijibu sijambo shikamoo baba Huku mikojo inatoka.
Alinionea huruma sana
Duh! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatukuwa tunaruhusiwa kucheza nje ya nyumba, sasa nilikwenda kucheza nyumba ya pili, katikati ya mchezo niliona gari ya msure nikawaambia washkaji wanifunike mkeka.
Msure amefika home anauliza Sky yuko wapi? Bro alikuja kunichukua nimefika ninaona macho ya msure ndani ya miwani ananiuliza unatoka wapi? Nilijibu sijambo shikamoo baba Huku mikojo inatoka.
Alinionea huruma sana
Noted down to my note book as stand up comedianStor nzuri ila hujatulia ktk kuandika mama...[emoji12]
Daaah nakumbuka kale kamchezo ka kimamama na kibababa ni kamchezo katamu ila kabaya sana [emoji16][emoji177][emoji177][emoji16]Hivi unakumbuka ni kosa gani uliwahi kufanya maskani enzi hizo hadi ukapigwa stiki za sinto sahau? Tupieni vioja tuvute hisia.
Mi nakumbuka siku moja usiku maza anapika wali chini ya banda la nyasi alituacha nje na bro akaingia ndani, huko nje tukawa tunachomoa nyasi juu ya banda eti tunawasha mwenge, si nikagusisha mwenge wangu kwenye banda!!!, duuu ukawa mwenge mkubwa sasa, kilichotoea baada ya kuzima mwenge huo mkubwa najua mwenyewe.