Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 1,083
- 1,628
Habari za Furahi Day!!
Baada ya serikali kutoa kibali cha ajira za walimu takribani 11,015, kupitia ajira portal dirisha la maombi lilifunguliwa na maombi yakafanywa. Baada ya maombi kupitia tovuti ya ajira portal walitangaza usaili wa walioitwa utaanza tar 23/10/2024 hadi 19/11/2024.
Cha kushangaza wamesitisha huo usaili bila kutoa taarifa kamili kwanini wamesitisha na usaili utafanywa lini au wataajiri kwa utaratibu upi?
Tujikumbushe tu walioitwa kwenye usaini ni zaidi ya 170,000, Wanaohitajika ni 11,015
Je, wakifaulu usaili watu 90,000, kwa rate ya kuajiri 10,000. Inamaana Database watakua na list ya kuajiri watu kwa miaka 9 mbele? Je hao wanaoendelea kusomea ualimu kuna tija?
Mpwayungu Village nisaidie hapo
Najiuliza pia huu usaili ulikua unafanyikaje kwa hiyo idadi?