Sintofahamu chuo cha ualimu morogoro

Sintofahamu chuo cha ualimu morogoro

"Watu wapaswa kufahamu"
Wakuu wa vyuo huwa sometimes kama miungu watu,njia uliyo tumia itawasaidia maana humu wapo kwa ID tofauti.
Hawa wakuu wa vyuo na maafisa elimu wilaya ni tatizo sana katika elimu nchi hii.Kwakuwa wanahodhi mafungu basi imekuwa kosa,wanajisahau sana.Poleni sana mwl.Nilikuwa hapo chuoni enzi za Mhaiki.
 
nimepita hapo kwenye mikono ya MAYOMBO
 
Back
Top Bottom