Edson Eagle
Member
- Apr 20, 2024
- 30
- 12
π€ππ Kumbe nilikuw naishi mbali na dunia sas.we nawe umetoka dasilamu jana nn,,watu uku vichochoron tushazoea toka miaka ioπ,na sabab yao ya msingi ni kuzisafirisha ad kufka mahali husika
wewe unaishi chunya unategemea vitu vya electronic viuzwe bei poa???,,,huko vyakula ndo bei chini!!Kuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya na songwe. Na wewe mdau hali ipoje wilayani kwako?π€
E_money ndo suluhu. Achana nao haoKuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya na songwe. Na wewe mdau hali ipoje wilayani kwako?[emoji848]
sana yan io bei m nmeanza kuifaham 2019 ukoπππ€ππ Kumbe nilikuw naishi mbali na dunia sas.