KB THE DON
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 246
- 113
Nimejaribu kufikiiri kwa hasa suala la hela kutokua na thamani
mfano sh 10000 ya sasa si ile ya enzi zake hii haina maana kua maisha yame'advance BIG noo!!!!!!
Nikiachana na hilo ntaipongeza serikali kwa kias flani kwa kua na lengo nzuri kwa watu wake kwa kutoa fedha kwaajili microfinances ila ntailaumu kwa namna ambayo lengo hilo limetekelezwa kwa njia ambayo haina tija saaana kwa nchi na raia wake
kwa maana kwamba fedha hzo hazitumiki kwa uzalishaji badala yake ni consumers tuu ndo maana mwisho wa cku mazao hamna vyakula vinapanda bei naona kwa sababu hamna wazalishaji, kulikua na haja serikali kuangalia namna ambavo itabuni miradi yenye tija na siyo kuwarundikia wananchi (consumers) fedha nakuwapa shida tuu ya kukimbizana kimbizana mara vikoba mara pride mara cjui nini daaa////
mfano mzuri mtu anakopeshwa fedha afu na anatakiwa aanze kuzirudisha/kurejesha tuseme baada ya wiki 1 inamaana hata kama mtu huyu kafanya biashara inakua haina tija kwasab anakua hajaiangalia biashara yake kama inamlipa au haimlipi ingewezekana taratibu za fedha zinafuatwa tuseme labda mtu akifanya biasharaake angalau baada ya miezi hata 2 au hata 3 hiv ndo tunasema sasa anaweza kuanza kurejesha kwa sabab fedha ile inakua imezaaa
ntampongeza sana mh. Rais mstaafu BENJAMINI mkapa kwasabu aliweza kumudu suala la thaman ya pesa na mfumuko wa bei watu walizalisha vya kutosha mahitaji ya nchi
PIA
ikumbukwe hayat mwalim NYERERE alisema kilimo ndo UTI wa mgongo wa taifa serikali
sasa chakushangaza serikali inamthamini mlaji kuliko mkulima( producers)
pendekezo langu kwa serikali ingewezekana fedha hizo kuwagawia wakulima katita kila mkoa kwa uwiano sawa hakika faida yake ingekua ni kubwa sana kuliko kumpa mtu anaefanya kazi ya kwenda kariakoo kununua ili auze
PIA
ikumbukwe kauli ya mh. RAIS JK ya KILIMO kwanza sijui imepotelea wapi mpaka sasa
nimesema mengi lakinii kwa ufupi naomba yafuatayo wahusika wayaone
1.Tusipendelee kuwasaidia walaji kuliko wanaozalisha
2.Utaratibu mzuri wa marejesho ya hizo pesa uwekwe angalau hata wananchi wakafaidika siyo unachukua hela leo wiki inayofuata unatakiwa uanze kurejesha
3.kilimo ni uti wa mgongo maana viwanda vingi vnategemea mazao toka shamba
4. Kilimo iwe ni sehem ya ajira binafsi kwa mwenye utayar na uhiari wa kujiunga na kilimo basi serikali iwasaidie angalau hata mtaji tuu
5. TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO SAFI AMBAO KUPATIKANA SI RAHISI