Wewe Kama nani PAKA SHUME WEWE!!Next time.dont mention my name in vain
Tz ya Nyerere labda !!Hakuna jambo linaweza kufanyika ukanda wa maziwa makuu bila mkono wa Tanzania kinyume chake ni kushindwa tu! Ndio maana msimamo wa Tanzania huangaliwa kwa jicho tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kwa maswahibu yote uliyoyapitia lakini naomba nikushauri kama alivyokushauri mtu mmoja huko juu.., Hii simulizi au ushuhuda wako ni bonge moja la utajiri kama ukiangalia kwa jicho la tatu, achana na kutoa kitabu na kuuza locally hapa Tz,, kuna fursa ya uuzaji vitabu online through Amazon, kule process zote ni bure (ni wewe na mb zako na kompyuta yako) Naamini kabisa kwa kisa hiki ukiiandika vizuri kabisa tena kwa lugha ya kingereza, ukafunguka mambo mengine ambayo humu haujayasema lazima kiuzike, who knows unaweza pata hata connection kitu kikatengenezewa movie.
Ni ngumu lakini sio kama haiwezekani, na sio kwamba lazima ufanye hivi lakini ushauri tu nimekupa, bahati mbaya sana na mimi bado beginner najifunza jifunza bado ili niweze kuitumia hii fursa.. Kama utapendezwa na wazo langu,, ingia you tube mtafute jamaa anaitwa ERNEST MAKULILO ni Mtanzania, anayeishi Marekani. kaeleza process zote jinsi ya kujisajili, kuandika na ku upload kitabu amazon free kabisa kwa ajili ya kukiuza (ila baadae Amazon watakukata pesa ndogo sana baada ya kitabu kuanza kununuliwa, means hautatoa hela yako yoyote mfukoni kuwalipa),, Huyu ERNEST MWAKULILO yeye mwenyewe anafanya hivyo na kauza vitabu kadhaa tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Boss, tupo tayari kukuchangia ili mradi hii stori ifike mwisho. Pia nimegundua wewe ni mtu usiependa majivuno upo tofouti na watanzania wengi ambao wangepata exposure ulizopata wangekuwa na kauli za kejeli kwa baadhi ya member humu ndani pengine kususa kabisa kuleta muendelezo wa hii stori yako.Nimepata dhoruba kidogo simu yangu imepasuka kioo Leo mchana tutaendeleaaa hapa natumia simu ya wife msijali hii itafika mwisho lazima nimalize msihofuView attachment 1380093
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mzee, kwa alosto tuliyoipata ngoja niitishe harambee ya simu tu (jokes).Nimepata dhoruba kidogo simu yangu imepasuka kioo Leo mchana tutaendeleaaa hapa natumia simu ya wife msijali hii itafika mwisho lazima nimalize msihofuView attachment 1380093
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Shaka Kaka yani nilivyokuwa nasoma comment zenu wengine mkajua nimekimbia .simu yangu imekreki hivyo inashindwa hata kuandikaPole sana Boss, tupo tayari kukuchangia ili maradi hii stori ifike mwisho. Pia nimegundua wewe ni mtu usiependa majivuno upo tofouti na watanzania wengi ambao wangepata exposure ulizopata wangekuwa na kauli za kejeli.
Tupo tayari kwamuendelezo, msalimie hapo shemeji.
Hapana najiweza mkuu simu kwangu sio ishuu mzee .Pole sana mzee, kwa alosto tuliyoipata ngoja niitishe harambee ya simu tu (jokes).
Sent using Jamii Forums mobile app
🤔Lakini ajabu dunia ilifahamu ikapuuza. Bikira Maria hadi alitokea kuonya kinachokuja lakini wale mabinti waliotokewa walipuuzwa! Ila yale mauaji ya Rwanda sijui nini kiliikumba dunia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika, tulidhani umekimbia kama wafanyavyo baadhi ya member humu ndani, wengine tulihisi labda umepigwa mkwara na wale watu wa upande wa pili huko PM kwako, maana katika baadhi ya maandishi yako umeonesha ukiuhusisha Tanzania indirectlyHakuna Shaka Kaka yani nilivyokuwa nasoma comment zenu wengine mkajua nimekimbia .simu yangu imekreki hivyo inashindwa hata kuandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimehangaika Sanaa na dunia kutafuta hela mkuu ,sasa nimezeeka acha tu nipumze .Mkuu huu ni ushauri murua sana, napenda sana watu wanao ona fursa na kuwashitua wenzao. Mkuu nimeona unapenda na wengine kufanikiwa, hakika utafika mbali sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yule jamaa unayemsifia wajua kuwa ametoka huko? Watch out your mouth bro.wahutu walikuwa na mpango wakutokomeza kizazi cha watutsi, yaani kuua watutsi wote, ili enterahamwe wakose sapoti ya kuchukua nchi. Kagame anafanya vizuri sana kumaliza nguvu za wahutu. wahutu ni makatili sana bora kagame awauwe wale wakorofi. i hate hutus
Unapatikana nchi gani mkuu kwa sasa...maana unaposema leo mchana utaendeleza hii story ni kama vile hapo ulipo sasa hivi ni majira ya asubuh.Nimepata dhoruba kidogo simu yangu imepasuka kioo Leo mchana tutaendeleaaa hapa natumia simu ya wife msijali hii itafika mwisho lazima nimalize msihofuView attachment 1380093
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza shombo basi mkuu,mashine nayotumia Nina uhakika hugusi wewe na ukoo wako wote
Ni sawa na hapa Tz tungekuwa na Wahaya(Special tribe) na Wachaga tu.Na mimi hilo wazo limenijia, naona bado hakuna amani ya kweli moyoni baina ya haya makabila mawili, nahisi tu kuwa watawarudi watutsi pindi PG akiachia madaraka.
Nchi za kiafrika kuwa na makabila mawili tu ni janga kubwa sana.