Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Cheap wasted sperm[emoji56][emoji16][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji38]
Yaani story watu walikua wanaishobokeeeea ndio imeisha hivo.
Story za kukopi na kupaste utazijua tu.
Kagere ni mganda
wewe nawe babu zima unakua na mishebeduo kama demu.
Ukiambiwa fact kubali, wengi tumeshakushtukia tangu mwanzo.
Ulikua unabwabwaja ukidhani hakuna wanaojua story ya Rwanda kuliko wewe imekula kwako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wakiwa Tanzania wanaitwaje?Yes ni mtutsi pure kabisa wa western Uganda.
Tutsi wakiwa Rwanda na Burundi ila wakiwa Uganda ni Hima/Ankole, DRC ni Banyamulenge ama Hema/Bagegere.
So ni damu moja hao
Mkakati huo ungefika mpaka Tanzania na ungeishia Kenya kwa kuwa mpango uliokuwepo ni kuziweka nchi zote hizo katika himaya ya kitusi.Huyu PK aliandaliwa Tanzania na Mwalimu kisha alipigana vita ya Tanzania na Uganda akiwa TZ na akina Museveni. Baada ya Mu7 kuingia madarakani UG, PK ndio alikuwa mkuu wa Usalama UG.
Kumbuka huyo Bossless aliposema lile defender kalikuta mpakani mwa Burundi askari wamevaa kombat za TZ na vumbi hadi kopeni. Unadhani walikuwa wanafanya nini na eneo hilo muda ule lilidhibitiwa na askari gani. PK aliandaliwa kumtoa Habyarimana na Kabila aliandaliwa kumwondoa Mobutu. Ni stori ndefu anyway ila mkakati ulikuwa unaenda kwa awamu
Vipi baada ya kurudi Tz raia wa bongo mitaani walikuwa wanajua chochote kinachoendelea uko Rwanda kipindi icho?? Kwasababu wakat huo hakukua na mawasiliano ya cm za mkononi na tv zilikua chache. Tujuze hali ilikuaje Tanzania?Inaendelea...........
EeeeMRND ......eeeeee...MRND..eeeee..MRND ....eeeeee...MRnd.. ishaka rya banyarwanda , eeeee...eeee
Eeee MRN ishaka ryubumng'e na mahoro na majambele ya rubanda tweshe turagushigikie ...eeeeMRNd ikomera.×2
Huo hapo ni wimbo wa kinyarwanda wa chama tawala Cha MRND nikaona kabla hatujamalizana na rwanda wote muujue huu wimbo ,Kama nilivyosema mwanzoni kipindi hicho ulikuwa unapigwa redioni masaa 24 kwa siku hakuna kupumzika .nachotaka kusema hapa ni kwamba wimbo huo ulipigwa maksudi ili kuwakaririsha watu waamini kuwa hakuna chama kingine Cha kuwaletea maendeleo zaidi ya chama cha MRND na hakuna mbadala ,huu wimbo ulipigwa redioni Hadi wazungu wakawa wanaujua achilia mbali watoto ukabadilika ukawa Kama wimbo wa taifa yani unaweza kukamatwa na interahamwe ukalazimishwa uimbe huo wimbo Kama ukishimdwa unakula vibao vya kufaa mtu ikalazimika Sasa lazima kila mtu aukariri uujue angalau beti hiyo moja huwa si usahau Hadi Leo (matumiz mabaya ya redio yakawa yameniathiri ) haijalishi we ni mwenyeji au mgeni.imbaaa
Haya Sasa tumalize na Rwanda.......
Tukawa tumelala pale boda usiku asubuhi tukawa tunasogea kwenye kidirisha Ila uongo mbaya sikumbuki sawasawa Kama siku ile nililala usingizi au vipi huwa sina kumbukumbu sawasawa nilistukia tu kumekucha watu Wana nawa nyuso nami nikaenda kunawa uso tukawa foleni kugonga passports zetu kuwahi kupanda maroli upande wa pili ,taratibu zikakamilika
Saa mbili kamili nikawa tumeiacha ardhi ya Rwanda rasmi tunaingia ardhi ya Burundi nikasema ASANTE MUNGU ,safari ikaanza kwenda bujumbura safari ikaanza huku tukiwa na baadhi ya warundi tukawa tunapiga stori kuhusu zile maiti za mtoni usiku Ila wao wakawa wanasema zile maiti zimetoka mbali Sanaa vijiji vya mbali Burundi bado Hali sio mbaya Sanaa japo kulikuwa na tension kubwa rais wao nae alikuwa kwenye ndege iliyomuua rais wa Rwanda Habyarimana. nikajiapiza kuwa kamwe haitotokea Mimi nikanyage ardhi ya Rwanda Tena hadi nakufa hata Kama Vita itaisha nikaambiwa nirudi kazini tena ,hata ningeteuliwa kuwa balozi kamili na ndo ingekuwa mwisho wa hiyo kazi siko hiyo .( Ila miaka ya 2000' ) nilitembelea Kigali tena zaidi ya Mara mbili kibiashara lakini mwenyewe.)
tukaingia Burundi MAROLI yakaenda kupaki eneo la Gitega Kama sijakosea Ila ise nako kulikuwa na kituko ambacho kiliniacha hoi yani niliona magari kadhaa yanapishana mjini yakiwa na matundu ya risasi na polisi hawana time nayo magari ya raia tu nikawa nawaza hapaNapo sipo.tukalala asubuhi safari ikaanza rasmi kuelekea boda ya Tanzania tukavuka boda nikawa ndani ya motherland nikavuta pumzi ndefuu nikasema uuuuaaahhhhhh Asante mungu.
Kuna kitu sitaki kumaliza bila kukisema baada ya kumaliza kuvuka boada ya tanzania Kuna kamwendo kakutoka boda Hadi kuna sehemu madereva huwa wanakula na Kama kupumzika kunaitwa kwa MAMA SHILINGI Sina uhakika Kama bado kupo Kuna mgahawa hivi Sasa pale watu tukawa tunashuka ili kula nikakosa sahani ya kulia ya kuwekea ubwabwa ikabidi yule mama muuzaji anipe kikombe cha chai ili nitumie Kama Sahank na kweli nikachotewa ubwabwa nikawekewa nikawa na kula huwa nikikumbuka nachekaa sanaAaaaa...ubwabwa kwenye kikombe duuuhhh.
Nafikiri Sasa nikawa ndani ya Tanzania ..rasmi ya Rwanda yakawa yameishia hapo.
Sasa kwakuwa niliahidi kuwaletea stori yangu hadi kufika Tanzania,kuacha kazi,kujiingiza katika biashara ya chuma chakavu huko Zambia ,kufungwa jera Ndola n.k Basi niwaombe Kwanza nitengeneze simu yangu kwanza ikiwa imepona Basi ntaiendeleza Kama sehemu ya pili ya maisha yangu kujifunza tu.
Mwisho naomba niwashukuru wote kwa kunifuatilia,kunikumbisha,hata wale mliinidhihaki lakini mkawa mnanifuatilia Kiaina,Asante Sanaa..
Stori hii naamini itakuwa imewavutia wengi sio mbaya kuipeleka kokote Kama sehemu ya kujifunza lakini usisahau kutoa credit kwa Bossless mwenyewe ambae ndo mmiliki wake halali.
Asante kwa viewers na comments za kutosha. USIKU MWEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM tuwaangalie jamani UVCCM ni hatari sana, hawa CCM tuwaondoe mapema ili tujenge utamaduni wa kuachiana uongozi. Kama mwanasiasa anapowakosoa tu wanaamua kumuua vipi huko mbele.
Mikutano ya wapinzani inazuiwa (Heche) na polisi ya wao inaruhusiwa kufanya fujo mbele ya mkutano wa mpinzani sawa je kwao itakuwaje?
Tunakoelekea sipajui. Intarahamwe wa bongo ngoja waanze kupewa vyombo vya ncha kali tuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Ehhh kwa kweli yani kama moviee
Poleh kwa masaibu mazito
Naamini utapata amani moyoni kwa kushusha huo mzigo
imenifanya nipate uelewa kidogo kwanini baadhi ya watangazaji wa redio walihukumiwa pia...ni kwa sababu ya kuaminisha dunia Rwanda iko okay wakati haikua kweli...au una mtizamo gani Baba?.
Hauta amini siku utakayogundua kuwa huenda balozi ndiyo huyu bi faiza mnayemdhihaki hapa jukwaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaluo
Inaendelea...........
EeeeMRND ......eeeeee...MRND..eeeee..MRND ....eeeeee...MRnd.. ishaka rya banyarwanda , eeeee...eeee
Eeee MRN ishaka ryubumng'e na mahoro na majambele ya rubanda tweshe turagushigikie ...eeeeMRNd ikomera.×2
Huo hapo ni wimbo wa kinyarwanda wa chama tawala Cha MRND nikaona kabla hatujamalizana na rwanda wote muujue huu wimbo ,Kama nilivyosema mwanzoni kipindi hicho ulikuwa unapigwa redioni masaa 24 kwa siku hakuna kupumzika .nachotaka kusema hapa ni kwamba wimbo huo ulipigwa maksudi ili kuwakaririsha watu waamini kuwa hakuna chama kingine Cha kuwaletea maendeleo zaidi ya chama cha MRND na hakuna mbadala ,huu wimbo ulipigwa redioni Hadi wazungu wakawa wanaujua achilia mbali watoto ukabadilika ukawa Kama wimbo wa taifa yani unaweza kukamatwa na interahamwe ukalazimishwa uimbe huo wimbo Kama ukishimdwa unakula vibao vya kufaa mtu ikalazimika Sasa lazima kila mtu aukariri uujue angalau beti hiyo moja huwa si usahau Hadi Leo (matumiz mabaya ya redio yakawa yameniathiri ) haijalishi we ni mwenyeji au mgeni.imbaaa
Haya Sasa tumalize na Rwanda.......
Tukawa tumelala pale boda usiku asubuhi tukawa tunasogea kwenye kidirisha Ila uongo mbaya sikumbuki sawasawa Kama siku ile nililala usingizi au vipi huwa sina kumbukumbu sawasawa nilistukia tu kumekucha watu Wana nawa nyuso nami nikaenda kunawa uso tukawa foleni kugonga passports zetu kuwahi kupanda maroli upande wa pili ,taratibu zikakamilika
Saa mbili kamili nikawa tumeiacha ardhi ya Rwanda rasmi tunaingia ardhi ya Burundi nikasema ASANTE MUNGU ,safari ikaanza kwenda bujumbura safari ikaanza huku tukiwa na baadhi ya warundi tukawa tunapiga stori kuhusu zile maiti za mtoni usiku Ila wao wakawa wanasema zile maiti zimetoka mbali Sanaa vijiji vya mbali Burundi bado Hali sio mbaya Sanaa japo kulikuwa na tension kubwa rais wao nae alikuwa kwenye ndege iliyomuua rais wa Rwanda Habyarimana. nikajiapiza kuwa kamwe haitotokea Mimi nikanyage ardhi ya Rwanda Tena hadi nakufa hata Kama Vita itaisha nikaambiwa nirudi kazini tena ,hata ningeteuliwa kuwa balozi kamili na ndo ingekuwa mwisho wa hiyo kazi siko hiyo .( Ila miaka ya 2000' ) nilitembelea Kigali tena zaidi ya Mara mbili kibiashara lakini mwenyewe.)
tukaingia Burundi MAROLI yakaenda kupaki eneo la Gitega Kama sijakosea Ila ise nako kulikuwa na kituko ambacho kiliniacha hoi yani niliona magari kadhaa yanapishana mjini yakiwa na matundu ya risasi na polisi hawana time nayo magari ya raia tu nikawa nawaza hapaNapo sipo.tukalala asubuhi safari ikaanza rasmi kuelekea boda ya Tanzania tukavuka boda nikawa ndani ya motherland nikavuta pumzi ndefuu nikasema uuuuaaahhhhhh Asante mungu.
Kuna kitu sitaki kumaliza bila kukisema baada ya kumaliza kuvuka boada ya tanzania Kuna kamwendo kakutoka boda Hadi kuna sehemu madereva huwa wanakula na Kama kupumzika kunaitwa kwa MAMA SHILINGI Sina uhakika Kama bado kupo Kuna mgahawa hivi Sasa pale watu tukawa tunashuka ili kula nikakosa sahani ya kulia ya kuwekea ubwabwa ikabidi yule mama muuzaji anipe kikombe cha chai ili nitumie Kama Sahank na kweli nikachotewa ubwabwa nikawekewa nikawa na kula huwa nikikumbuka nachekaa sanaAaaaa...ubwabwa kwenye kikombe duuuhhh.
Nafikiri Sasa nikawa ndani ya Tanzania ..rasmi ya Rwanda yakawa yameishia hapo.
Sasa kwakuwa niliahidi kuwaletea stori yangu hadi kufika Tanzania,kuacha kazi,kujiingiza katika biashara ya chuma chakavu huko Zambia ,kufungwa jera Ndola n.k Basi niwaombe Kwanza nitengeneze simu yangu kwanza ikiwa imepona Basi ntaiendeleza Kama sehemu ya pili ya maisha yangu kujifunza tu.
Mwisho naomba niwashukuru wote kwa kunifuatilia,kunikumbisha,hata wale mliinidhihaki lakini mkawa mnanifuatilia Kiaina,Asante Sanaa..
Stori hii naamini itakuwa imewavutia wengi sio mbaya kuipeleka kokote Kama sehemu ya kujifunza lakini usisahau kutoa credit kwa Bossless mwenyewe ambae ndo mmiliki wake halali.
Asante kwa viewers na comments za kutosha. USIKU MWEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kagere km kakaa kihutu hivi
Walikuwa wamelewa muda wote.kitu kilichosababisha wawe na ujasiri wa hali ya juu.mfano kikundi cha interahamwe cha watu 200 kwa siku kinaweza kuua watu hata 5000.kubaka wanawake50.kwenye ubakaji hali ilikuwa mbaya sana.kumbuka wahutu hawaoi watusti lakini wanawatamani sana lwa jinsi walivyoumbika vizuri.wakati wa mauaji walikuwa wanachagua wanawake wazuri wanawapeleka kuwafugia kwenye magodown.kwahiyo wanakwenda kuua watu .wakichoka wanakunywa pombee bwiii.wanarudi walipohifadhi wanawake wa kitusti.wanachakata papuchi kwa zamu.kwamba wanaonja utamu wa wanawake wa kitutsi maana hawawaoi.
Hali hiyo inapelekea kuambukizana magonjwa ya ngono.imagine kwa siku mnapokezana wanawake hata 20.nyinyi mko 200au 150.mnajikuta gono imesambaa kwa interahamwe karibu wote achilia mbali ukimwi. Wakawa wanajiuliza mbona tunaumwa sana huku chini.hawa wanawake wa kitutsi wachawi sana leo tunaua wote...wakirudi wanauwa wote halafu wanawafukia kwenye kaburi moja.nina rafiki interahamwe alihamia hapa tz..alinihadithia..cha ajabu uchaguzi wa tz anapiga kura..na namba ya nida anayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wakiume huyo achana nae.Ana fangasi so zimepanda mpaka ubongoni!
Ana Uzi wake humu akiomba dawa za fangasi wanatafuna chiu yake!
So don't waste ur time mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mauaji ya Rwanda yalifungwa kwenye box kwa muda wa siku 70 siku ya 71 ndo watu waliokuwa wamefanikiwa kutorokea wakawa wanasambaza habari .enzi no social media ni simu za kamba tuVipi baada ya kurudi Tz raia wa bongo mitaani walikuwa wanajua chochote kinachoendelea uko Rwanda kipindi icho?? Kwasababu wakat huo hakukua na mawasiliano ya cm za mkononi na tv zilikua chache. Tujuze hali ilikuaje Tanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
NotKwa kweli angemtaja tu angalau tumpongeze ukizingatia kuwa huyo balozi alikuwa ni mwanamke na leo ni siku ya wanawake duniani. Huyo mwanamke ana ujasiri wa ajabu kupita hata wanaume wengi wa kutoka pande hizo tuliowazoea kuwaona na kuwasikia kwamba ni wapenda ulojo.