Sintoshangaa Geita Gold FC ikiteremka daraja

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, mie nilikereka mno tena mno baada ya kusikia sintofahamu za kocha, mchungaji bora wa msimu uliopita na uongozi wa hii timu ya Geita Gold.

Sijui walijiona wamefika mwisho wa soka baada ya kufaulu kuiwakilisha nchi katika mashindano ya CAF. Sikuelewa kinachoendelea mpaka ligi inaanza wao wanabembelezana tu.
Sintoshangaa wakiteremka daraja kwani ukipanda mahindi huvuni mpunga.
 
Timu ina njaaa hii wee acha tuu, sisi watoto wa Nyankumbu ndio tunajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…