Sinus bradycardia left ventricular hypertrophy

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu nimekua namaumivu ya moyo upande wa bega kwa nyuma tangu mwaka Jana mwenz wa sita ..nlienda jkci nkafanyiwa echo na ecg majibu ya echo yalikua normal...ila ecg ilikuja sinus bradycardia left ventricular hypertrophy bpm56. Daktar alisema mapigo ya moyo Yako chini...umeme wa moyo hauko sawa kiazishio Cha umeme ktk moyo ndo shida....je wakuu Kuna tiba yoyote ya haya magonjwa ......maana naskia wahaya wanajua sana dawa za moyo
Nb mim nimgonjwa wa thyroids nko katika dozi miaka2 Sasa nimwanaume Umri miaka37
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…