kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,070
- 1,434
Ungenipa uchambuzi wa mitaa kidogo, ningeshukuru mkuuNaona km wale mabachela wengi waliokuwa wapo sinza wamehamia tabata na Goba sasa hv.
Sidhani Kuna wateja wengi km zamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye 'Enteprenyua' ha ha ha!
Ngoja niendelee hapo chini.
Kwan inaandikwaje..alafu ndo unatudanganya we darasa la sabaHapo kwenye 'Enteprenyua' ha ha ha!
Ngoja niendelee hapo chini.
Kwan inaandikwaje..alafu ndo unatudanganya we darasa la saba
Naendelea hapo chini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeona eh?hahaha huyu ni commedian balaa
namalizia kwq hapa chini
Enterpretenuar??? Kwann lakini? Kwann?Wakuu habari ya Jumapili,
Mimi ni mjasiriamali yaani enterpretenuar
Nahitaji kujua mtaa, au eneo zuri la kufungua mgahawa sinza, kulingana na wingi na hadhi ya watu Wanaishi mitaa hiyoo.
Nahitaji mtaa ambao watu wake from morning to usiku wa saa 4hawapungui,
Binafsi nimezungukazunguka kidogo but siijui mitaa mingi.
Natumaini huku jF hakuna linaloshindikana
Naomba kuwasilisha!
ππhebu msaidien mwenzenu bas wakaaz wa dar
Sio kosa lake,rais wake ndo kamfundisha hvyo
Kuna jamaa alikuja na Uzi kuhusu neno "Intaprinyua" Kwahiyo nimekumbuka tu!Kwan inaandikwaje..alafu ndo unatudanganya we darasa la saba
Naendelea hapo chini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nimejikuta namkumbuka Jiwe.
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nimejikuta namkumbuka Jiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah wakuu mnavyoleta mzaha kwenye mambo ya serious huwa nashangaa sana, jF imebadilika kiukweli!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Atuvumilie kwa kweli[emoji23][emoji23] kizaz kipya hiki mkuu nenda nasi taratibu tu
Daah hii ni fedheha mkuu[emoji23][emoji23] kizaz kipya hiki mkuu nenda nasi taratibu tu