pia maeneo ya hongera Afrikasana na San Cirro Legho na maeneo ya shekilango nasikia nako ni balaa, kunatishamimi naishi Makaburini/sinza. mambo hayo yapo lakini sikiivyo, mambo iko COnner Bar, mambo iko uwanja wa Fisi sasa Uwanja wa sifa, mambo iko Manzese Tiptop kibaa hiki jirani na Ofisi za CCM Pale jirani na Postal office, pale hata demu wa miaka 10 unapata, hahaaa usishangae, bongo Dar es salaam.
FL1,
Hivi ushawahi kujiuliza nisababu zipi zinazowapelekea mabinti kuwa hivyo?
pia maeneo ya hongera Afrikasana na San Cirro Legho na maeneo ya shekilango nasikia nako ni balaa, kunatisha
Nasikiliza Leo tena ya Cloude FM;
Mdau mmoja karipoti, eneo hilo limekuwa hatari sana kwa wawindaji; ukisimama tu na gari wanakuja mbio na kondom mkononi, na promo inapigwa kuna body morphological structure mbali mbali pia.
mdau(Mwanamke) kilichomkwaza alimuona binti wa kati ya miaka 15 hivi pembeni ya barabara kama anataka kuvuka vile, akasima! mara binti akaja mbio kifuwa wazi kuom-oyesha kuwa mzigo ni saa nne. binti alipomwona ni mwanamke alimmpa bonge la mfyonyo!!. Nasikia hapo hakuna kulala mchana na usiku.
Kama maandalizi ya kifo kwa ndugu zako kwako ina tafsiri ya raha basi karibu nyumbani mkuu hata kesho.Kumbe bongo raha hivi mi natamani kurudi hata kesho.
hapana FL1 dunia iko vile vile tu, ila watu ndiyo wanaelekea kubaya, tazama wanaenda fanya mambo machafu na ya hatari,kweli duniani inaelekea kubaya 15 years kishakuwa changu?!
...ndio matatizo ya ajira hewa milioni moja hayo! yaani inasikitisha kwakweli, kuanzaia saa mbili usiku, kigiza kikiingia tu, displays kibao barabarani. Wengine ni wadogo sana, ukiwaangalia hadi unaona huruma. Hivi kwanini tumefikia hapa?
hapa wanatafuta urahisi...Unajua maeneo haya yanaogopwa na watu hivyo nyakati za usiku huwa yana watu wachache mno.privacy 100% havahitaji gharama za guest house..Pili vishikio wakati wa kazi ni vingi tu...Supports...Naona ndo sababu za kukimbilia maeneo hayo.