KERO Sinza Mapambano kuna maji machafu yana Miezi minne sasa yanamwagika tu

KERO Sinza Mapambano kuna maji machafu yana Miezi minne sasa yanamwagika tu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Kipepeo03

New Member
Joined
Jun 18, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Katika kulalamikiwa maji safi hayapatikani na maji Taka nayo yamewashinda kabisa. Huku Sinza Mapambano kua maji machafu yana Miezi minne sasa yanamwagika tu.

Wachangamshe vichwa jamani sio Mishahara tu.
 
Back
Top Bottom