Kipepeo03 New Member Joined Jun 18, 2023 Posts 1 Reaction score 0 Feb 19, 2024 #1 Katika kulalamikiwa maji safi hayapatikani na maji Taka nayo yamewashinda kabisa. Huku Sinza Mapambano kua maji machafu yana Miezi minne sasa yanamwagika tu. Wachangamshe vichwa jamani sio Mishahara tu.
Katika kulalamikiwa maji safi hayapatikani na maji Taka nayo yamewashinda kabisa. Huku Sinza Mapambano kua maji machafu yana Miezi minne sasa yanamwagika tu. Wachangamshe vichwa jamani sio Mishahara tu.