Sinza (Sin city) special thread: Burudani, Vimbwanga na Starehe unazoweza kuzipata

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Nimefikiria kuanzisha uzi kuhusu hii pande ya mji wa dar es salaam tupate kushirikishana mambo kadhaa.

Ukiona pisi kali kapanga sinza anakaa kigetogeto na hana kazi maalum, mkuu usitongoze wewe uliza tu bao moja sh ngapi.

Wanaume watanashati kupitiliza huko sinza wengi sio riziki.

Kama ni mgeni hapa dar ukija usifikie kuishi sinza, utajipoteza wewe na malengo yako. Kakae angalau Kimara.

Wadau ongezeni zaidi
 
Sinza naona sahv imejaa fremu za biashara nyumba za watu zimekodiwa ofisi mpka zile za ndani ndani kabisa kwenye baadhi ya mitaa
 
Sinza wamekithiri kugeuza nyumba za kuishi kuwa ofisi. Nilishangaa kampuni fln hv wamenielekeza ofisi zao aiseee ni nyumba ya kuishi kabisa hadi ina geti
 
Nimefikiria kuanzisha uzi kuhusu hii pande ya mji wa dar es salaam tupate kushirikishana mambo kadhaa.

Ukiona pisi kali kapanga sinza anakaa kigetogeto na hana kazi maalum, mkuu usitongoze wewe uliza tu bao moja sh ngapi.

Wanaume watanashati kupitiliza huko sinza wengi sio riziki.

Kama ni mgeni hapa dar ukija usifikie kuishi sinza, utajipoteza wewe na malengo yako. Kakae angalau Kimara.

Wadau ongezeni zaidi
Magomeni ni mji wa wafuga majini, kinondoni ni mji wa matapeli na wauza unga, sinza ni mji wa ngono!
 
Back
Top Bottom