bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Hakika hiki kipigo cha vyuma vitano kutoka kubwa la maadui Yanga kimewachanganya sana Simba wamekua kama wajenzi wa mnara wa Babeli hawaelewani kabisa kila mtu anakuja na lake humu jamii forum big thinker wao wamekomalia Ushirikina, mashabiki wao wanataka viongozi wasepe, wazee wa simba wanataka viongozi wasepe, vijana wanataka timu ivunjwe yani ni fulu vituko sisi tunasema bado hawasema na watasema tuu.
Wameanza na Matola Selemani kumrudisha tunafahamu marafiki wa Matola ni Erasto nyoni, Boko, Kichuya na Ntiba sio ajabu tunapoelekea Nyoni na Kichuya wakarudishwa tena pale msimbazi kwenda kuungana na rafiki yao Matola na bado mashibiki wa Simba watapiga makofi kupongeza, wasipopiga makofi atatumwa kijana wao wa propaganda Ahmedy Ally kuwapiga saundi na mwisho wa siku watajaa nyavuni.
Hakika Yanga amegusa waya husika, yanga amegusa waya unaopeleka umeme maeneo sensitive sana, Yanga katupa mzinga wa nyuki pale msimbazi na Bunju hakika hawa jamaa wanaumia mnoo basi tu wanalazimisha furaha ila kiuhalisia mioyo yao imejaa damu.
Roma ikisema imesema.