Sio 'best loser', ni 'best second/third-placed team(s)'

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Nimekuwa nikishuhudia upotoshaji wa watangazaji na waandishi wa habari za michezo pale timu zilizoshika nafasi za chini lakini zikiwa ni chache tu zinahitajika kusonga mbele ili kuzibia mapengo kukamilisha idadi ya timu zinazohitajika. Timu hizo zilizo nafasi ya chini hushindanishwa kwa vigezo maalum ili kupata chache ambazo zitaungana na zile zilizosonga mbele moja kwa moja kwa kushika nafasi za juu. Kwa hapa Tanzania nimekuwa nikisikia waandishi na watangazaji wakiiita hicho kigezo cha timu za nafasi ya chini kuwa ni 'BEST LOSER'. Ukweli ni kwamba terminology sahihi inayotumiwa na FIFA ni BEST SECOND-PLACED TEAM iwapo zinashindanishwa timu za nafasi ya pili, na huitwa BEST THIRD-PLACED TEAM iwapo zinashindanishwa timu za nafasi ya tatu. Sasa sielewi akina Kitenge na wengi waliitoa wapi hiyo best loser!

http://www.fifa.com/mm/document/tournament/competition/56/42/69/fifawcsouthafrica2010inhalt_e.pdf
 
Asante kwa taarifa...
Ulifafanua Hilo tangu 2011
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…