Sio bure ipo namna!

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
67,252
Reaction score
168,563
Habari za mishe wadau!!!!!

Hivi huyu member mwenzenu aitwaye Ray.mond ubongo yake imepatwa na hitilafu gani???!!!!!!!!!!???? Nikama kavurugwa kupita kawaidaaaa tena kavurugwa kotekoteeee!!

Currently humu amekua akitoa mapovu sijui ya sabuni za nchi gani..Yani ful maduduu majibu kunyakunyaa bikaka wewe sio kwa majibu hayo hata kwa wanaume wenzio !!!!
Kuna siku alimjibu babu majibu hayooooo!! [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] walahi sijawahi ona.
sa babu kikongwe na sharubu zake zilizokomaa anaanzaje kukojoa akalale jamani!!!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] .

Siku hizi mond anatapika si mchezo. mtu unaweza kuwa unajipitia zako tu hujamsemesha hata yeye atachefukaa sio kuchefuka tu atatapika mpaka nyongo! msemeshe sasa ndio balaaa utakula nakoz mpaka!

Jamani........!!!!!
Vipi huyuu?????!!!!!!

Kwaherini!!
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Akili ndogo hujadili watu.

akili kubwa hujadili maswala.
 
Naomba nitoke nje ya mada kwanza......
Hivi hiyo avatar ndio wewe.....[emoji45] [emoji45]
Maana nimeitazama tu, mawazo yakaenda mbali sana....[emoji39] [emoji39]
 
Umetumwa anakutapikia wewe na akili zako fupi kama maisha ya funza!!acha kumdhalilisha mond au mshatibuana PM unakuja kumwaga upupu huku mfyuuuyu wa hamorapa[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Nimeshakujibu wap majibu mabaya..Au unataka tuliamshe dude..
 
Ahsante Gene wangu sijui nimemkosea nini huyu mdada wakati ndio leo namuona..
Ngoja nimuandalie tui la choo kwana..
Umetumwa anakutapikia wewe na akili zako fupi kama maisha ya funza!!acha kumdhalilisha mond au mshatibuana PM unakuja kumwaga upupu huku mfyuuuyu wa hamorapa[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Amigo...
Kwa hii mbata....[emoji45] [emoji45] [emoji45] hata kama ni wewe, lazima upate mawazo aiseeeee.....[emoji39] [emoji39] [emoji39] View attachment 534970
Huyu akinipa namba hata awepo wapi namfata[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…