Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 302
- 292
Thanks for makin me laugh MkuuKumbe wewe hujui
'Umbali kutoka Magomeni Dar kwenda Gongo la mboto Dar ni mrefu zaidi kuliko kutoka Gongo la mboto hadi Magomeni'
'Ndiyo maana mtu wa Magomeni kumtembelea wa Gongolamboto inakuwa shida sana kuliko wa Gongo la mboto kumtembelea Magomeni'
Ni utani tu.
'Week end' njema.
decomm
HahhahahaMleta mada anawaza mambo ya weekend na pombe tu. Shauri yake, kwa wengine weekend ni kila siku