The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Wakuu.
Sio kila aina ya nguo inamfaa kila mtu, kuna mawazi ya yanawafaa watu wenye maumbile flani na mengine hayawafai watu wenye maumbile flani.
Wanaume warefu kaptula hazitufai, hizi zinawafaa zaidi watu wafupi, vile vile jeans, suits, cardets zinawafaa zaidi wanaume warefu, mathalani vazi la suit halikudesigniwa kwa ajili ya watu wafupi, hili shorties mnalibaka ndio maana mtu unakuta anafanana na gunia la mkaa.
Tujaribu kuheshimu mavazi na maumbile yetu, sio kila vazi linamfaa kila mtu. Usione kwa kua mtu fulani kavaa vazi flani akapendeza basi na wewe utamani kua kama yeye, angalia kama mnaendana kiumbo.
Tusipende kulazimisha mambo yawe jinsi tunavyotaka.
Ahsante.