The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Kwa hiyo Mimi na urefu wangu wa ft 5 nivae kaptura kazini kwa kuwa suti haitanipendeza?Wakuu.
Sio kila aina ya nguo inamfaa kila mtu, kuna mawazi ya yanawafaa watu wenye maumbile flani na mengine hayawafai watu wenye maumbile flani.
Wanaume warefu kamptula hazitufai, hizi zinawafaa zaidi watu wafupi, vile vile jeans, suits, cardets zinawafaa zaidi wanaume warefu, mathalani vazi la suit halikudesigniwa kwa ajili ya watu wafupi, hili shorties mnalibaka ndio maana mtu unakuta anafanana na gunia la mkaa.
Tujaribu kuheshimu mavazi na maumbile yetu, sio kila vazi linamfaa kila mtu. Usione kwa kua mtu fulani kavaa vazi flani akapendeza basi na wewe utamani kua kama yeye, angalia kama mnaendana kiumbo.
Tusipende kulazimisha mambo yawe jinsi tunavyotaka.
Ahsante.
[emoji39] [emoji39]We kuna mkaka ni mrefu hia anavaa kaptula na ana miguu kama ya wazungu imejaa hivi hua anapendeza kinyama
6 ft na kaptula inanitoa vizur tu, labda ukisema kwa wale wakuvaa za kuishia mapajani ntakuelewaWakuu.
Sio kila aina ya nguo inamfaa kila mtu, kuna mawazi ya yanawafaa watu wenye maumbile flani na mengine hayawafai watu wenye maumbile flani.
Wanaume warefu kamptula hazitufai, hizi zinawafaa zaidi watu wafupi, vile vile jeans, suits, cardets zinawafaa zaidi wanaume warefu, mathalani vazi la suit halikudesigniwa kwa ajili ya watu wafupi, hili shorties mnalibaka ndio maana mtu unakuta anafanana na gunia la mkaa.
Tujaribu kuheshimu mavazi na maumbile yetu, sio kila vazi linamfaa kila mtu. Usione kwa kua mtu fulani kavaa vazi flani akapendeza basi na wewe utamani kua kama yeye, angalia kama mnaendana kiumbo.
Tusipende kulazimisha mambo yawe jinsi tunavyotaka.
Ahsante.
Unamtamani mume wa NTU.. .wakati unaye wako!!!!!We kuna mkaka ni mrefu hia anavaa kaptula na ana miguu kama ya wazungu imejaa hivi hua anapendeza kinyama
Sio Mimi ila nimeshaikuta[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]dah mkuu ushaiupload dah :;: futa pliz
Sio Mimi ila nimeshaikuta[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] moto unao kwa wifehamna noma / acha nile views . life bila kiki haliendi
Mimi huyo kumbe unanipendaga nilijua tu nikipita macho yanakutokaga kinyamaWe kuna mkaka ni mrefu hia anavaa kaptula na ana miguu kama ya wazungu imejaa hivi hua anapendeza kinyama
Amekudrive crazy eti [emoji3] [emoji87]We kuna mkaka ni mrefu hia anavaa kaptula na ana miguu kama ya wazungu imejaa hivi hua anapendeza kinyama
Huyu jamaa ana matusi ya mwilini [emoji3] .Kwamba wafupi wakivaa suti wanakua kama magunia ya Mkaa ha ha ha