Sio kila mbunge wa CCM anasifia bungeni, wangine wanajitambua kama Pius Chaya

Mzee wa Code

Member
Joined
Sep 23, 2024
Posts
61
Reaction score
91
Ni ukweli ulio wazi kwa sasa wabunge wa CCM wanapitia hali ngumu ya Kisiasa Bungeni kutokana na Vikao vya Waziri Mkuu kuwapa Maelekezo wakisimama bungeni wafanye kazi ya Kusifia Serikali Jambo ambalo sio sahihi Kikatiba kwa kuwa bunge ni muhimili unaojitegemea.

Pamoja na Mikwala, vitisho mbalimbali vya wanaojiita viongozi wa chama bungeni wakiongozwa na Waziri mkuu majaliwa na katibu wake rashid Shangazi Mbunge wa Mlalo ambae ndie chawa mkubwa wa Ccm Bungeni, lakini pamoja na mabiti na mikwala hiyo wapo baadhi ya wabunge wamekuwa wakitoa maoni na mawazo mazuri ya kuwatetea wananchi kama mbunge huyu Pius Chaya ambae alisimama bungeni na kutoa mawazo bora ya kibunge.
 
Hasifii kwasababu haongei chochote. Kwanza anayemfahamu ni nani zaidi alio waibia kura huko maporini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…